Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,156
Kwa argument hii hata wale dada zetu wanaosimama mabarabarani usiku pia wanajiingizia kipato halali so si shame job?
Unajua maana ya rizq 'halali' wewe? Sidhani kama unajua.
Licha ya kutojua kwako, umalaya si haramu sehemu zote duniani. Zipo sehemu ambapo umalaya ni moja ya shughuli rasmi tena yenye kutozwa kodi kabisa.
Na madhali mtu kaamua kujikita huko ili kujipatia mkate wake sioni kwa nini asijivunie kutoa huduma kwa watu wanaoihitaji huduma anayoitoa.