Recent content by Lung'wecha

  1. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

    Makongoros mbeya
  2. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Kama Hauna Connection, Pesa au siyo In Service Kuna Kozi Hautakiwi Kusoma

    Ni chuo gani kinatoa hii course?
  3. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?

    Neno Ibara kwa maana ya Article linatumika unaponukuu sehemu ya Katiba au Sheria za Kimataifa kwa maana ya Charter. Tumia neno Kifungu/section unaponukuu Sheria za Bunge/ Acts
  4. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Go for Volvo Xc90
  5. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania SUV gani nzuri kwa Milioni 40?

    Volvo XC90 ina 2500 cc ulaji wa mafuta unakuwaje mdogo?
  6. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Thermostat ndiyo zinatolewa kwa sababu mazingira yetu (Tanzani & Africa generally) ni ya joto. Miji mingi ya Japan ina freeze, mf. Nagoya wanakotengeneza hizi gari hali yake ni baridi muda mwingi (10°,11°,12° etc) ndo maana wanaweka thermostat. Changamoto hiki kifaa kinaweza kumisbehave kikaziba...
  7. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

    Forester XT ni 180 speed, haina jipya labda iwe ile yenye turbo
  8. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]walikuwa na chombo miguu miwili
  9. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji complete engine ya 1NZ (raum) toka Japan Naomba bei kama ipo
  10. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magari madogo hayatumii Dizeli yanatumia petrol?

    Kwani coolant si ni maji pia na yanatumika kwenye kila gari
  11. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

    Eeeh jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Lung'wecha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipigo cha frypan kilikufanya urudi kwenye factory setting
  13. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

    Jamaa this time atashinda zaidi ya 80%. Ni suala la muda tu!
  14. Lung'wecha

    JamiiForums Tanzania Kijana yupi kati ya hawa ana sifa za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano?

    Maybe kwa baadae atleast ungesema 1.Kassim Majaliwa 2.Dotto Biteko 3. Makamba January 4. Makonda Paul (anapigwa vita lakini ana nyota kali)
Back
Top Bottom