Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,124
2,000
Zilijitahidi lkn ilibidi kuwa tunachimba dawa mara kwa mara ili kuruhusu ipoe la sivyo inge pasua Engine!
Ñdo maana wenye passo, IST na funcargo , Rush walikuwa wanachimba dawa Sana nankuongeza maji kila mda
 

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,204
2,000
Usiombe kusafir gari moja (private) na mzee alaf awe msomi, dar utatoka asubuhi na kaskazini sio chini ya saa 2 usiku utafika. Ukihoji kwanini speed ndogo atakujibu huna akili wewe hujui alama za barabarani, sababu wewe ni mwendesha pikiki, ukimuulize mzee mbona chuma nikizito nataka nisikie hizi pistons kama ndio zimekuja na gari au ulikwisha badilisha, akaniambia bebi woka zenu mnazipenda mnataka mkimbizane na vyuma vizito kama hivi ndio maana ajali nyingi.. Na hapo ndio mwisho wangu wa safari na wezee
 

mysterio

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
5,625
2,000
Ligi ni mzuri sana haswa kama mnaelekea sehem moja nimekuja nimekuja na utafiti mdogo hapa kuhus nani alikuwa mbabe road trip kwa mwaka Jana.

Land cruiser kama kawaida yake hana mpinzani huyu mnyama anakimbia jamani hajali tuta wala nini yeye ni mwendo alitutesa sana sisi wakina Harrier sio poa mpinzan wake alikuwa ni Land cruiser mkonge, Prado txl new model, Ranger wild track, Nisan navarra, ndo walikuwa wanawekeana misuli


Kuna huyu volkswagen asee hiki chumba kina ondoka wajameni hii ñdiga ni mashine hatari yeye na BMW X 3,4,5 Hawa walikuwa tishio Sana germany mashine sio poa kwa long trip wanapuli sana very comfortable wakiwa barabaran kuovertake ndo usiombe


Kuna huyu mnyama crown ni ana balaa alitupita pale korogwe hatukumuona tena anapepea jamani hii chuma sio mchezo kimetulia barabaran san alikuwa huyu na mwenzie brevis walitupita hatukuwaona tena


Brevis, Grand Mark II hizi Gari zinakimbia gx100 ni anabalaa brevis alitupita kama tumepark vile wakat sisi tulikuwa tunatembelea 120 wakati huo kipande cha hapo Tanga alituovertake na kumuona akitoweka nikamvulia kofia kwa speed hi kwere nae alikuwa anatesa road.

Mark x nae hakuwa mzembe kuna Alphard walikuwa wanatesa. Hii ndio list ya Gari zilikuwa tishio kwa ligi njiañ kwa mwaka Jana December kwa Trip ya kwenda ukanda wa kaskazini kwa utafiti mdogo wang na kwa mtazamo wangu mm najipanga nivute mnyama athletes crown Simba hiki chuma sema tu kwenye bums ndo wanapoteswa hapo na rough roads tuu ndo hafui dafu
usilolijua ni kama kiza kinene
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom