Recent content by lungekuta

  1. lungekuta

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Edwaard Ngoyai Lowassa.
  2. lungekuta

    CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Haka kajamaa ni shida sana. Inabidi katekenywe kidogo tupate jua amekuwa Israel nini?
  3. lungekuta

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    .Kisu ni zana ya kijeshiiii????? Ama kweli hata mimi nina miliki zana za kijeshi pia
  4. lungekuta

    Afande Sele VS Abood 2015

    Mi mkazi wa Bigwa, Morogoro hapa. Japo si mwanachama wa ACT ila kura yangu nampa Suleman Msindi
  5. lungekuta

    Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

    Treni kapanda Kinana na Nape sembuse Yeye bana.
  6. lungekuta

    KENYA na TANZANIA jifunzeni kwa hawa wanaume!

    It is possible...with in one hour using that action it may decrease the number of death...although some of the commanders may also die but it can decrease the number death and victims....coz in Garissa the terrorist used 13 hours killing 148 people with an average of 11 people to every hour.......
  7. lungekuta

    Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima

    Nimependa ulivyomalizia kuwa vya madhabauni........!
  8. lungekuta

    Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Huyu mwalimu na hisi ni feki kama wale matrafki na madaktari. Mwamasishaji anayefahamika ni F. Mapunda a.k.a Mwanakotide we unamtaja chipukizi mbona unageuka kuwa ndomu zitumikazo kwenye nyumba za wageni? Alafu naomba nijue shule ulikuwa unafundisha somo gani na matunda yako kwa wanafunzi...
  9. lungekuta

    Kura ya maoni katiba pendekezwa yaota mbawa 30/04/2015

    Ama kweli hawa ndo watu wanaofanya siasa ionekane ni uongo.
  10. lungekuta

    Joto la CCM ni kali sana, wapinzani wanavua gwanda "automatically"

    Hongera sana kwa mtizamo wako.
  11. lungekuta

    Nani amuazime "mkuu wa kaya" akili kidogo achanganye na zake?

    Uteuzi huu umechukuliwa kuwanufaisha watukishikaji zaidi na si kuisaidia taifa.
  12. lungekuta

    Joto la CCM ni kali sana, wapinzani wanavua gwanda "automatically"

    Duh? Unaonekana una mapenzi makubwa saana na Chadema dada yangu.
  13. lungekuta

    Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

    Huyu jamaa ni wakupeleka Milembe aisee, maana nahisi kuna mda HUWA anapoteza fahamu.
  14. lungekuta

    Msimamo wangu ndani ya Chama

    Mmmmh, mwanachama wa mwanzo ya miaka ya 90? Bila shaka kasi na upepo wa hivi sasa huwezi shindana nazo. Ni lazima akili itakuwa imechoka tu. Pole sana Dada yangu RosenaMarry. Ng'atuka tuu kaa pembeni uachane na siasa na uwe mshauri tu.
  15. lungekuta

    Baada ya Chacha Wangwe kufariki, CHADEMA imekufa Tarime?

    Ama kweli wewe Mzee Mkuda.
Back
Top Bottom