Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Wana Ukumbi,

Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.

View attachment 246214
 
hatua nzuri. Ila asifanye hivo akitafuta kulewa sifa kwa wananchi. Akifanya ivo ataumbuka
 
At Work
 
Attachments

  • 1429812280107.jpg
    1429812280107.jpg
    14.7 KB · Views: 2,058
Unafiki mtupu. Bado tunsmtaka aueleze Imma wa watanzania, ni nani anafadhili hiyo mikutano ya chama chake
 
Wana Ukumbi,

Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
You mean kaacha Hummer nyumbani !
 
hatua nzuri. Ila asifanye hivo akitafuta kulewa sifa kwa wananchi. Akifanya ivo ataumbuka

Zitto hana haja ya kutafuta sifa Alikataa posho, alikataa gari la mbunge. Hayo yote yanatosha kumpa sifa.

Sababu kubwa ya kupanda treni ni katika hali ya kuishi kile anacho kihubiri kila siku - ujamaa.
 
Na yale magari matano mapya watafugia kuku?
 
ACT ni jeshi la mtu mmoja. Haina tofauti na NCCR ya Mrema. Hiki ni chama ambacho kimeshindwa kujenga base, na kubaki kujiuza kwa kupitia jina la Zitto tu. Hakuna namna unaweza kwenda kumshawishi mtu ahudhurie mkutano wa ACT pasipo kumtaja Zitto. Na yumkini walio wengi wanakuja kwenye mikutano kwa nia tu ya kutaka kumfahamu Zitto na si lingine.

Ninaogopa kuwashauri mashabiki wa Zitto msije mkanirushia mawe. But kwa uhakika kabisa, sioni cha maana ambacho anakifanya Zitto kinachomtofautisha na wapinzani wengine. Zaidi sana, ni ukweli kuwa ACT inabebwa na jina la kiongozi wake na si sera zake. Hakuna mtu yeyote atakayevutiwa na hadithi ya sera za ujamaa hii leo, itikadi ambazo zilishindwa kufanya kazi mahali pote duniani. Kusema ukweli sioni lolote la maana zaidi ya blabla tu.
 
Zitto ni mtoto aliyetumwa sokoni na Lowassa bila kupewa hela, atazugazuga we hadi mwenye hela Lowassa afike.....

By the way hata Mimi ningepanda treni tu kuwalaghai wajinga huku HUMMER imepaki home
 
Acha mambo ya kike mkuu. Dume zima unasema mwanaume mwenzio ana Hummer! Uliipeleka wewe?
 
Wana Ukumbi,
K
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.
Ni maigizo. Kua kipindi watu walisema helkopta ni aghali na u fulani wa hela, tunaona sasa karibu wote wanaenda huko. Usishangae nae karibuni akapeleka huko huko! Ujamaa wa maigizo hauduma na hasa katika mazingira ya sasa duniani. Hata wachina na watu si hawako huko tena.
 
Back
Top Bottom