Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Utafiti haufanyiki mitandaoni wewe
LOWASSA.
Mleta uzi tupe matokeo.
kuna huyu mbulula aliepiga kura mara kibao anatudhihirishia jinsi wanavyotuibiaga kura
Kura yako imeharibika
TWAWEZA kweli kiboko naona wamefanya pro-Chadema wamepagawa ovyo kila wakikutana wanapiga kura.
Teh teh teh
Rais Wa Mtandaoni Sawa,wewe Utakuwa Waziri Wake