Hahaaaaa
Nimecheka
mgombea sahihi atatoka ukawa.
akanyoe kwanja rasta
aiseee babayangu kampuni tenaWe vipi?? Afande Sele ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT-Limited katika zile nafasi 5 alizopewa Kiongozi Mkuu 'kumgawia' yeyote amtakae. Wewe humtaki wakati Kiongozi Mkuu ndio tegemeo lake?! Unamkosea adabu mkuu wa kampuni yenu
ofcourse yes. nawadharau sana. masikini naililia kodi yangu inayopotea kwa kulipa hawa jamaa, najuta kuchanguliwa kwa hao mbwiga.Hao wengine uliowataja ni wabunge waliochaguliwa na wananchi watanzania,kwa maana nyingine unawadharau kwa uamuzi wao wa kuwachagua hao wabunge?
hapama, sijawapigia kura ila wanalipwa na kodi yangu. ni afadhali wangechagua hao wapiga kura wangechagua mawe maana mawe hayahitaji huduma yoyote na kodi yangu ingekuwa salama.wote hao unawapigia kura wewe tu?