Recent content by Luminous black

  1. L

    JamiiForums Tanzania Diamond huyoo, kazi kwenu wenye wadada

    mwacheni apige wembe lakini achunge asijikate
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kitendawili.......

    hata we umepata ingetakiwa ukose ndo ushinde
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uroho mwingine bana!

    ina maana juice ndio kitu cha tayari kiliopo kwenye fridge, na chai ndio mwanzo ibandikwe motoni hivyo hawezi anza kwa chai. Isitoshe ameambiwa achague moja kati ya viwili sio vyote, njaa zake apeleke kwake
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwenzetu kajichanganya,tumsaidie kujieleza!

    enheee, hapo ushapona sasa kesi kwisha na busu juu!!!!!!!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania This is what STRESS realy means.

    hapo umegusa ndipo ndo wengine wanatetemeka, aliye umwa na nyoka akiona unyasi hugutuka. THAT IS STRESSFULL WHATEVER THEY SAY.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hebu pima kiingereza chako

    hahahahaaha! Hili ndio jawabu sahihi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    kakuma, mbooni, mukundu all in kenya.
  8. L

    JamiiForums Tanzania wabaongo bana!!

    na hivi ndivo vituko uswahilini
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    utadhani chura kavyogwa na kibajaji
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    Matatizo lazima yalianzia ofisini binti alipotoka, haiwezekani ujibiwe kinyesi iwapo hujakichokora.
  11. L

    JamiiForums Tanzania msaada '''mboga'' - kwa kiingereza

    Mboga, kwa urahisi ni vegetable. Unless unataka kitoweo
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tears of thoughts!

    Diplomacy n peaceful strikes r the way 4ward barbarism n war doesnt heal a wound neither does it bring u close to achieve instead its away of downwarping the economy due to lose of lives lets find a better way, Tanzania is the oasis of peace let us nt mk it dirty n greasy Him, u n i shud...
  13. L

    JamiiForums Tanzania MPOKI wa orijino komedi na misemo ya ajabu

    Mgalla muuwe, hakiyake mpe. Hv wengine hatupendi wa2 wapate sifa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania I Miss Sex!!

    Kumbe mada iliwashinda mkalala.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

    Mpuuzi, bado waanze kutembea na chupi na kanchuri.
Back
Top Bottom