Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

kuna wanaume wana kauli mbaya sana jaman..ila mjue hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kauli...sasa hapo huyo mwanaume kulikua hakuna hata haja ya kuongea sana angesema tuu kwamba yupo busy basi....wanauzi sana wanaume wa hivi na kama unaipenda bado ndoa yako wewe mwanaume chunga sana ulimi wako....cheers
 
Lazima mwanamke ajifunze kusimama peke yake siku zote
Mbona gari kanunua bila kumtegemea mwanaume?
Huyo jamaa aliye msaidia atamsaidia vyote sasa
kwan ndugu umeuliza kuwa ndio tabia yake kuomba msaada?
yy huyo mumewe akiwa na shida haombi msaada?
ndoa gan ss iyo wakat wa shida mnakimbiana, si mliahid kuwa pa1 kwenye shida na raha uko ni kukwepa majukumu yako.
 
Yaani hapa nahisi mmemiss point nzima! Huyu dada hajalia kwa sababu hajanunuliwa mafuta, angeweza hata kupigia driver taxi akamuambia niletee 10 lts ntakupa hela ukifika. Tatizo kulikuwa na shida ya mafuta, sasa amdekee nani? Raha ya kupendwa iko wapi yarabi?! Hajasema kama hana hela ya mafuta, mafuta yalikuwa ya shida! Hivi mkeo kila akikwama kitu akampigia simu kaka yake utajiskia mwanaume bado? Aisee, kweli uanaume kazi!
upuuzi mtupu .yaani niishi kwa matumaini kisa wese? daladala zimeisha? je bajaji? je bodaboda? je punda? wanawake wengi wanaishia kujiuza kisa tu waonekane wanadrive
mtu anakuwa na wanaume kibao kisa gari
switi wa mafuta.
honey wa service
darling wa leseni
angel wa insurance nk nk
huyo jamaa yako yuko right kabisa ukinunua gari ujue na jinsi ya kulihudumia maana sio kitu cha muhimu sana hiyo ni luxury thing.kama huna huwezo achaaaaaaaaaaaaaa.
 
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie sababu gari lake halina mafuta, na yupo somewhere Morogoro road akiwa anatokea kazini na sheli za karibu hazikuwa na mafuta.

Nikapitia kumnunulia sheli moja nilipata taarifa kuwa inauza mafuta na ndipo nilipompelekea sehemu alipo na kumkuta mwenye majonzi lakini alijitahidi kutabasamu baada ya kuniona na baada ya kumuwekea mafuta nilimuuliza mumewe aliko akajibu kwa unyonge yupo kazini!

Nikamuuliza tena kwa nini usimwambie kwa kuwa hapa ni karibu na ofisini kwake dada machozi yakaaza kumtoka nikaamua nimuache aende!

Baada ya siku chache nilimpigia kumuuliza akaniambia shemeji, naishi bila matumaini bora ya mgonjwa wa ukimwi! Akasema kuwa siku ile alimueleza mumewe tatizo hilo akamjibu" kwa hiyo.......unataka nikusaidiaje.....kwani mimi nauza mafuta ya gari???

Kama uliweza kununua gari iweje ushindwe kulihudumia, kwanza mimi nina kazi zangu ofisini sina muda .........dada akaamua akate simu maana angeendelea kumsikiliza angemuumiza maana maneno yaliyokuwa yanatoka kwa mumewe wa ndoa ni makali.

Najiuliza hivi sisi wanaume hawa wadada wa watu huwa tunawaoa ili kuwakomoa? Au hatujui maana ya ndoa? Au ni ushamba? Utoto? Au ni ukatili tu tunaamua kuwafanyia?

alitaka amwambie nani amsaidie kama si mumewe? why jamani tunakuwa wakatili hivi?? aghhhhhhhhh

Hebu wanaume wenye hekima jf tusaidiane kumshauri mwenzetu naona hajielewi na haelewi majukumu yake.

Ndugu yangu... tanzania yaleo kila mtu (wanawake na wanaume) waangalie kwa macho matatu.... yawezekana unaliwa kuanzia mkiani

sisemi kwamba anadanganya but use all teh cautious measures to deal with them, i met one lady tena ana mtoto kama wa five years, na anaonekana amesoma wacha apange maneno kuhusu mumewe na mtoto anashida na ametelekezwa sababu ya dada wa kizanzibari, nikaenda home nikasimulia story kwa upole wacha watu wanicheke aisee... kumbe ndio kazi yake na anatengeneza za kufa mtu

nA KWASABABU UNAFAHAMIANA NA MUMEWE, NAKUSHAURI UONGEE NA HUYO MWANAUME, KWANI KAMA ANA MATATIZO BASI NI WEWE NDIE MSAADA... ila akijua unaongea na mkewe directly (tena kwa kumpigia simu ujue una tatizo jingine)

JUST APPRAOCH EVERYTHING WITH CAUTION MKUU, TOUGH LIFE HAS CHANGED EVERYTHING, and you need to be a true brother to the man so that if he is such a fool, then aache kabisa
 
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie sababu gari lake halina mafuta, na yupo somewhere Morogoro road akiwa anatokea kazini na sheli za karibu hazikuwa na mafuta.

Nikapitia kumnunulia sheli moja nilipata taarifa kuwa inauza mafuta na ndipo nilipompelekea sehemu alipo na kumkuta mwenye majonzi lakini alijitahidi kutabasamu baada ya kuniona na baada ya kumuwekea mafuta nilimuuliza mumewe aliko akajibu kwa unyonge yupo kazini!

Nikamuuliza tena kwa nini usimwambie kwa kuwa hapa ni karibu na ofisini kwake dada machozi yakaaza kumtoka nikaamua nimuache aende!

Baada ya siku chache nilimpigia kumuuliza akaniambia shemeji, naishi bila matumaini bora ya mgonjwa wa ukimwi! Akasema kuwa siku ile alimueleza mumewe tatizo hilo akamjibu" kwa hiyo.......unataka nikusaidiaje.....kwani mimi nauza mafuta ya gari???

Kama uliweza kununua gari iweje ushindwe kulihudumia, kwanza mimi nina kazi zangu ofisini sina muda .........dada akaamua akate simu maana angeendelea kumsikiliza angemuumiza maana maneno yaliyokuwa yanatoka kwa mumewe wa ndoa ni makali.

Najiuliza hivi sisi wanaume hawa wadada wa watu huwa tunawaoa ili kuwakomoa? Au hatujui maana ya ndoa? Au ni ushamba? Utoto? Au ni ukatili tu tunaamua kuwafanyia?

alitaka amwambie nani amsaidie kama si mumewe? why jamani tunakuwa wakatili hivi?? aghhhhhhhhh

Hebu wanaume wenye hekima jf tusaidiane kumshauri mwenzetu naona hajielewi na haelewi majukumu yake.

HILI JAMAA LAZMA LIWE LIKENYA! wabongo sio hivi....
 
Yaani hapa nahisi mmemiss point nzima! Huyu dada hajalia kwa sababu hajanunuliwa mafuta, angeweza hata kupigia driver taxi akamuambia niletee 10 lts ntakupa hela ukifika. Tatizo kulikuwa na shida ya mafuta, sasa amdekee nani? Raha ya kupendwa iko wapi yarabi?! Hajasema kama hana hela ya mafuta, mafuta yalikuwa ya shida! Hivi mkeo kila akikwama kitu akampigia simu kaka yake utajiskia mwanaume bado? Aisee, kweli uanaume kazi!

thanks... wisdom is here
 
Mbona kesi ndogo tu hiyo, ingeweza kumalizwa ndani ya ndoa, kifupi huu ni ugomvi mdogo sana kwenye ndoa.
sio sababu ya kuona ndoa ni mbaya.
 
Loh ndoa hii lazima
1. Wamechokana
2. Wakati wa tukio kulikuwa na jiugomvi
3. Nyumba ndogo inahusika.

Pole dada ila kuna wanaume wenye majibu ya kuumiza!

kamanda... nahisi hujamaliza holiday... hebu nenda tena kaimalizie!!! i take this story with 50/50 my dear

siku hizi wajanja wengi mno mjini... hata yule mzushi naye ni kundi hilohilo
 
upuuzi mtupu .yaani niishi kwa matumaini kisa wese? daladala zimeisha? je bajaji? je bodaboda? je punda? wanawake wengi wanaishia kujiuza kisa tu waonekane wanadrive
mtu anakuwa na wanaume kibao kisa gari
switi wa mafuta.
honey wa service
darling wa leseni
angel wa insurance nk nk

huyo jamaa yako yuko right kabisa ukinunua gari ujue na jinsi ya kulihudumia maana sio kitu cha muhimu sana hiyo ni luxury thing.kama huna huwezo achaaaaaaaaaaaaaa.

nakupendaje smile.... HAPPY NYU YIA
 
wanaume wa jf someni hii thread,na kwa sababu muhusika yupo humu basi ujumbe wake utakuwa umemfikia. Wiki ilopita kulikuwa na kauhaba ka mafuta ambako hakakuchukua siku nyingi, nikiwa njiani narudi kazini alinipigia simu dada mmoja ambaye tunafahamiana naye pamoja na mumewe akiniomba nimsaidie sababu gari lake halina mafuta, na yupo somewhere Morogoro road akiwa anatokea kazini na sheli za karibu hazikuwa na mafuta.

Nikapitia kumnunulia sheli moja nilipata taarifa kuwa inauza mafuta na ndipo nilipompelekea sehemu alipo na kumkuta mwenye majonzi lakini alijitahidi kutabasamu baada ya kuniona na baada ya kumuwekea mafuta nilimuuliza mumewe aliko akajibu kwa unyonge yupo kazini!

Nikamuuliza tena kwa nini usimwambie kwa kuwa hapa ni karibu na ofisini kwake dada machozi yakaaza kumtoka nikaamua nimuache aende!

Baada ya siku chache nilimpigia kumuuliza akaniambia shemeji, naishi bila matumaini bora ya mgonjwa wa ukimwi! Akasema kuwa siku ile alimueleza mumewe tatizo hilo akamjibu" kwa hiyo.......unataka nikusaidiaje.....kwani mimi nauza mafuta ya gari???

Kama uliweza kununua gari iweje ushindwe kulihudumia, kwanza mimi nina kazi zangu ofisini sina muda .........dada akaamua akate simu maana angeendelea kumsikiliza angemuumiza maana maneno yaliyokuwa yanatoka kwa mumewe wa ndoa ni makali.

Najiuliza hivi sisi wanaume hawa wadada wa watu huwa tunawaoa ili kuwakomoa? Au hatujui maana ya ndoa? Au ni ushamba? Utoto? Au ni ukatili tu tunaamua kuwafanyia?

alitaka amwambie nani amsaidie kama si mumewe? why jamani tunakuwa wakatili hivi?? aghhhhhhhhh

Hebu wanaume wenye hekima jf tusaidiane kumshauri mwenzetu naona hajielewi na haelewi majukumu yake.

Huyo mwanamke anaonesha hana adabu hata chembe;

1) Ilikuwa haina haja yeye kukuagiza wewe mafuta kama mumewe kisha jibizana nae (hayo ni mambo yao). Alikuwa anamuonesha mumewe kuwa anauwezo wa kuyapata mafuta? au alikuwa anakupa wewe "green light" lakini ukawa hujijui?

2) Ilikuwa haina haja kabisa ya kujidai kujiliza, alikuwa anataka "sympathy"?

3) Alikuwa hana haja kabisa ya kukuelezea mambo yake na mumewe, walipooana walikushauri wewe? mambo yake ilikuwa anatakiwa ayamalize na mumewe.

Kwa mtazamo wangu, huyo manamke ana yake na haihusiani na mumewe. Na wewe ni pia si mtu wa maana kwani mambo kama haya ya kutongozana kwenu usingeyaleta jamvini. Hamna cha mafuta wala ufuta ni m'washo tu.
 
Mmmmh mpaka mdada akakueleza majibishano ya kwenye simu kati yake na mumewe.... :A S-coffee::photo:

mke wa mtu sumu mazee.. mind ur own damn bussiness, kila aliyeko kwenye ndoa akikuelezea matatizo yake unaweza kuanguka chini, pengine ukikutana na huyo bwana anayelaumiwa naye akikupa yanayomsibu utastaajabu! lets not be judgemental
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom