wabaongo bana!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
[h=6]kulikuwa na mmarekani ,mkenya na mtanzania maongez yalikuwa hiv
mmarekan :sisi kwetu kuna maghorofa marefu sanaa
mkenya:yanafika mbinguni?
mmarekan:kwa chini kidoooogo
mkenya nae:sisi kwetu kuna mlima mreeefu
:mtanzania:unafika mbinguni?
mkenya:kwachini kidooogo
mtanzania:sisi kwe3 watu wanakula kwa kutumia pua
mkenya na mmarekan:aaaaa bwana acha fiksi hizo
mtanzania:kwa chini kidogo.wenzake hoi

[/h]
 
na hivi ndivo vituko uswahilini
 
Hahahahah...nimekusoma mkuuuuuuuuu.
Ila honestly mara ya kwanza nimesoma sikuelewa ujue....teh teh teh....
 
Back
Top Bottom