Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Mke kamnunulia mumewe dozen ya ch*pi i.e boxer zote za rangi ya bluu. {MUME};Akhsante kwa zawadi mke wangu lakini umekosea kidogo,ungenunua za rangi mchanganyiko kwa sababu watu watadhani mimi huwa sibadilishi ch*pi,kila siku navaa ile ile.{MKE};Watu gani hao!?.[Hebu msaidie kujieleza].