Hebu pima kiingereza chako

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,169
1,711
Kama elimu yako sio ya mchina badili sentensi hii kuwa ya kiingereza 'BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI'
 
Tatizo watu wanataka kufanya direct translation! Lugha haziendi ivo! I think smartuser yupo sahihi.
 
Back
Top Bottom