Recent content by LUMBAKALA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kupata utajiri siyo suala la bahati, ni sayansi kama zilivyo sayansi nyingine

    MTU ALIE RITHI UTAJIRI HUYU NAE KABAHATISHA TU
  2. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA na Lowassa ni waongo sana kuliko Al Sahaf wa Iraq

    Rock spider acha siasa za udini wakatholic wanahusianaje na ccm??
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM nyinyi tu ndio mnajua kutawala?

    Yaani mi napata wakati mgumu kuona mtu atoke zanziber kuja kupiga kura ya meya.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue kwanini wananchi wanataka kuiadhibu CCM jumapili

    mabadiliko ni muhimu kuliko kitu chochote tuko pamoja ccm sina hamu nayo,nikiona ile rangi ya t-shirt zao nasikia kutapika
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kweli ni wakati wa mabadiliko, hadi saiti!

    Wana ccm msijifariji vijana wamebadilika na wanataka mabadiliko,ccm hamtoboi bhana,we kila unapopita edo edo,mitaa saba ya huku kwetu wapo ukawa na wenyeviti wa hapa ni chadema nyie ccm mtatokea wapi?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM watasitisha kutumia Chopa kwenye ziara zao

    Rahisi yashinda ghali
  7. L

    JamiiForums Tanzania Amani ya nchi ni muhimu zaidi kuliko wanasiasa

    Amani ya nchi ni muhimu zaidi kuliko matakwa ya wanasiasa. Uvunjifu wowote wa amani utaligarimu taifa kuijenga upya amani itakayovunjwa. Wanasiasa fanyeni siasa zenu amani yetu mtuachie. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Atakayekaidi na kubaki kituoni kulinda kura "HATAVUMILIWA"

    kura lazima zilindwe kwani hakuna uaminifu wa uhakika
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wana UKAWA tu – Man 2 man...

    Mtoa mada hata sisi huku kwenye vibanda vya chai tuna wahamasisha mpaka wanakubali kweli Lowasa anaweza.Watu 6 tumeshawavua gamba tumewavalisha gwanda.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tarehe 25/10/2015 tutajua nani lofa nani msomi

    Natamani Sana kumuomba Mungu anifikishe tarehe 25/10/2015 kupiga kura na kujua kuwa nani Lofa na nani msomi.Kauli za kuitwa malofa kunanipandisha hasira nizidi kuchukia ccm na siasa za kibabe za mtu kupanda jukwaani na kutamka atakavyo, kwani tutafanya nini haya bhana mnyonge mnyongeni haki...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wachawi wa CCM

    Tumekuelewa mkuu mabadiliko lazima
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya UKAWA

    Ukiona mtu wa ccm anaandika vitu vya hovyo ujue ameshachanganyikiwa.ukawa wako vizuri hawanaga akili mgando
  13. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli ashindwa kuujaza uwanja Kibondo

    ccm wataisoma namba .
  14. L

    JamiiForums Tanzania Makamanda wanaopigania ukombozi kupitia mitandao kutambuliwa

    Tupo pamoja makamanda
Back
Top Bottom