Hawa ndio wachawi wa CCM

Hawa ndio wachawi wa CCM

Hii ina maana kuwa Lowassa na hao maadui wengine wote hawatufai.

Kwa hiyo Watanzania tunatakiwa kumchagua mtu ambaye hana madoa ili tuanze nngwe mpya ya viongozi wasafi.

Magufuli amekuwa serikalini kwa miaka mingi na ameweza kuepuka vishawishi vya rushwa na ufisadi papa. Tumchague Magufuli na kuanza nngwe mpya ya viongozi wasafi na kuacha kulaghauliwa na mafisadi kama Lowassa na wapambe wake.

Hii singo ya ufisadi ilishapita na wakati…Ktk orodha ya Slaa aliwataja mafisadi 11 sasa kama "fisadi" mmoja kahama huko CCM na kaja ukawa sasa chama gani chenye mafisadi zaidi???
 
Hii singo ya ufisadi ilishapita na wakati…Ktk orodha ya Slaa aliwataja mafisadi 11 sasa kama "fisadi" mmoja kahama huko CCM na kaja ukawa sasa chama gani chenye mafisadi zaidi???

Kati ya Mafisadi 11 waliopingwa vibaya na CHADEMA, ni EDWARD LOWASSA peke yake ambaye bado anataka kuurudisha UFISADI IKULU.

LOWASSA = HATUFAI
 
Serial I imepiga EpA NA Escrow juzi turn Leo tuwarudishe tens tutakuwa tuna akili za kuku
 
labda kama magufuli angekua ni mgombea binafsi ningemfikiria, kwa kuwa yuko ccm hamna kitu kipya ni yaleyale tu. Mabadiliko hayaji kwa kurekebisha mfumo yatakuja kwa kubadilisha mfumo

  1. Kubadili chama haisaidii kama kitakuwa kinaongozwa na FISADI PAPA.
  2. Kwa katiba yetu Tanzania, Raisi ana nguvu kubwa ya kufanya mabadiliko nchini bila kupingwa na sio chama. Wabunge wa vyama ni wapiga vigelegele tu.
  3. MAGUFUL: Pana rekodi ya kufanya mabadiliko kwa karibu miaka 20 akiwa waziri na bado akabaki akiwa msafi.
  4. LOWASSA: Ana rekodi fupi zaidi akiwa Waziri lakini yote imejaa UFISADI. Kila alichofanya maishani mwake kuanzia UVCCM, AICC, Wiz ya Ardhi, Mifugo, PM na hata ubunge, vyote vina UFISADI wake kwa wingi.
  5. MABADILIKO Tanzania::::::::>>> ni kwa kuweka IKULU kiongozi aliye na rekodi ya:
MSAFI + MTENDAJI = MAGUFULI = M4C.
 
Serial I imepiga EpA NA Escrow juzi turn Leo tuwarudishe tens tutakuwa tuna akili za kuku

  1. Mafisadi wote ni wale wa ule Mtandao uliojengwa na LOWASSA.
  2. Karibu wote wameshafukuzwa na CCM
  3. CCM wamejisafisha kwa kuachana na MAFISADI PAPA kama LOWASSA na kuwatema kwenye Uraisi.
  4. Awamu mpya ya CCM = WASAFI + WATENDAJI; Na inaanzia na Dr. JOHN MAGUFULI.
  5. Kumpigia kura LOWASSA ni kurudi kwenye wana-MTANDAO = MAFISADI.
 
kinana yuko wapi jamani simsikii kabisaa?? nataka nimuulize kmapeni zimeishA au?? mbona kimya saana
 
Wee Nyengo, mie sikuwezi kabisa. Naona umemkosesha usingizi 'kubwajinga'. Wala haina haja ya kusubiri, kwani dawa na dozi uliyotoa imemuingia na kupenyeza kisawasawa. Hebu angalia jinsi anavyohangaika kureply kila baada ya dakika mbili. Umefanikiwa sana nyengo, pongezi. Hivi ndivyo inavyotakiwa, ... dunga, kisha subiri uone wanavyotabika kujitetea. Hawa hawawezi kukatiza. Siwalaumu, kwani ni kawaida kiumbe kipige mateke saa ya kuaga ifikapo. Poleni magamba masisyemu.
 
Kati ya Mafisadi 11 waliopingwa vibaya na CHADEMA, ni EDWARD LOWASSA peke yake ambaye bado anataka kuurudisha UFISADI IKULU.

LOWASSA = HATUFAI

Hakufai wewe na nani? wanaokufaa ni wale walioiba pesa za escrow?waliouza pesa za mabehewa feki, wanakufaa wale walioiba pesa za kivuko feki cha Bagamoyo?
 
kuna mwenzako aliongea yote hayo nikamuuliza kwa hiyo serikali ya awamu ya nne chini ya chama cha ccm ilikua inafahamu kuwa lowasa ni fisadi? unaweza kumsaidia kujbu.

CCM Wameutambua UFISADI wa LOWASSA na wapambe wake wanaMTANDAO, ndio maana wakawafukuza madarakani na kuwanyima Uraisi ili kulinusuru taifa.

Kuna list ya mafisadi aliyotaja dr Slaa pale mwembeyanga ilikua na watu 11, mbona hao wengine hawatajwi au kuanzia jina la kwanza hadi la mwisho alikua ni lowasa tu?

Kwa sababu LOWASSA ndiye peke yake kati ya hao 11 ambaye anataka kuendeleza ufisadi IKULU

EDWARD LOWASSA = FISADI PAPA

Tatizo mnaambiwa lowasa fisadiukiulizwa aliliingizia taifa hasara ya shilingi ngapi hamjui. Sumaye alisema ufisadi wa escrow, Epa, meremeta ukitokea lowasa alikuwepo? mbona hamtoi majibu

Hasara ya UFISADI wa LOWASSA kwa taifa ni US $138.954 Billion = TShs294.668284095 Trilioni

Una swali lingine kuhusu FISADI PAPA LOWASSA?????

LOWASSA = HATUFAI
 
Back
Top Bottom