bluetooth
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 4,401
- 2,560
Makamanda wakishasarenda hawaendelei kuwa makamanda...
Dr. Slaa ame- surrender .... Kwa sababu ya infidelity
Makamanda wakishasarenda hawaendelei kuwa makamanda...
Makamanda tunazidi kuchanja mbuga! Katika hali isiyokuwa rasmi tumeona juhudi kubwa inayofanywa na watu mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hasa katika kunadi sera, itikadi na wagombea wa UKAWA, zaidi Rais mtarajiwa Mheshimiwa Edward Lowassa.
Naendelea kuwatia moyo kwa kuona umhimu wa mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu Tanzania na kuyapigania wenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote. Tutawatambua makanda wote waliopigana, lakini kimahususi, wale waliopigana kwa uzuri, weledi na kwa ukubwa zaidi kumi (Top Ten) walio katika daraja la juu kwa kuzingatia mitandao kadhaa ya kijamii. Maana kuna umuhimu wa kuwaenzi na kuwapa heshima ya kipekee mara tu baada ya kumaliza kazi.
Ukimaliza kazi, utavalishwa taji.
Kuwapongeza makamanda ni mkakati wangu binafsi.
Makamanda wakishasarenda hawaendelei kuwa makamanda...
umeandika jambo ambalo wanafiki hawapendi kulisikia .
Artificial makamanda ndo mnaendelea kuchanja mbunga, yaani unakaa na Lowassa upande mmoja alafu unadiriki kujiita Kamanda? mnafanya harakati zipi sasa ambazo babu yenu anazifanya ama mnataka na nyie mkagawiwe ng'ombe kwenye lanchi zetu alizotupora? kwantunawakumbusha mfanye haraka mkaitoe ile ghorofa yenu pale Ubungo la sivyo tutaing'oa asubuhi tarehe 26 oktoba na hatutawapa notice tena.
kuna makamanda wamejitolea maisha yao kwa ajili ya ukombozi , Mungu awalinde sana .Makamanda tunazidi kuchanja mbuga! Katika hali isiyokuwa rasmi tumeona juhudi kubwa inayofanywa na watu mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii hasa katika kunadi sera, itikadi na wagombea wa UKAWA, zaidi Rais mtarajiwa Mheshimiwa Edward Lowassa.
Naendelea kuwatia moyo kwa kuona umhimu wa mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu Tanzania na kuyapigania wenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote. Tutawatambua makanda wote waliopigana, lakini kimahususi, wale waliopigana kwa uzuri, weledi na kwa ukubwa zaidi kumi (Top Ten) walio katika daraja la juu kwa kuzingatia mitandao kadhaa ya kijamii. Maana kuna umuhimu wa kuwaenzi na kuwapa heshima ya kipekee mara tu baada ya kumaliza kazi.
Ukimaliza kazi, utavalishwa taji.
Kuwapongeza makamanda ni mkakati wangu binafsi.
MARUFUKU WaGOMBEA UKAWA KUSHIRIKI MDAHALO wa aina YEYOTE NA ADUI,fullstop.
Wewe ndo unabeba posho zao toka kwa Mamvi siyo?
Mnafiki ni wewe unayefuata mkumbo
Makamanda wakishasarenda hawaendelei kuwa makamanda...
Umekua muimba taarabu,mipasho tuu.Duu pesa ya ccm mbaya sana,inakufanya mtu usiwe huru kabisa