Magufuli ashindwa kuujaza uwanja Kibondo

Magufuli ashindwa kuujaza uwanja Kibondo

Wao wanatumia wasanii kujaza watu...sisi tunamia sera!!! Sasa naona hata uwanja haujai!! Mambo ya UKAWA hayo!!!
 

Attachments

  • 1442504674401.jpg
    1442504674401.jpg
    74.4 KB · Views: 263
  • 1442504774067.jpg
    1442504774067.jpg
    33.9 KB · Views: 270
  • 1442504802262.jpg
    1442504802262.jpg
    71.7 KB · Views: 257
  • 1442504842409.jpg
    1442504842409.jpg
    33.6 KB · Views: 255
acha unafiki wewe,sisi ni mashuhuda,kibondo ilikuwa mafuriko,inaonekana wewe hukai hapa kibondo au hukuja uwanja wa wa taifa au ulipiga hiyo picha asubuhi saa 3 asubuhi
 
Subiri kamanda lowasa akitia timu uone uwanja utakavyotapika
 
Acheni uongo wenu. Hizo ni picha za asubuhi. Sasa hivi hapakaliki Kibondo.

Ukinipa jb.la swali hilo nitajua ww ni nan

Kwa El hata asbh kumbe nyie.ni wa jioni
Tuliwaambia tutashinda mapema
 

Attachments

  • 1442506452493.jpg
    1442506452493.jpg
    28.8 KB · Views: 308
Acha uongo wewe picha hiyo ipo kwenye twitter ya magufuli mwenyewe ikionyesha tarehe 13 Septemba. Hihihihihihi mwaka huu CCM mmekamatika!!!!

5wxcfc.png

mkuu nimeona kwenye habari Chanel 10 alikuwa amevaa t-shirt ya mistari hii imetoka wapiii..watu kiduchu nimeona
 
Yule mtoto mwenye kutoa harufu. Aunti E. hakuwepo kumsupport?
 
Picha ya saa mbili asubuhi hiyo hata majukwaa hakuna na wapi magufuli amesimama hapo
 
Mbona ndo kwanza watu wanaingia! Weka picha stahiki acha majungu
 
Back
Top Bottom