Hali mbaya UKAWA

Hali mbaya UKAWA

Duni in mwanachama wa CHADEMA cuf anawatafutia nini? Mgombea mwenza hawezi kuroka chama tofauti na mgimbea uraisi jiangalie upya.
 
Ukiona mtu wa ccm anaandika vitu vya hovyo ujue ameshachanganyikiwa.ukawa wako vizuri hawanaga akili mgando
 
nikifikiria jinsi wabunge wa ccm jinsi walivuofanyaa madudu yao bungeni kwa bunge hili liliopita sina hamu na wabunge wa ccm kamwe...
 
Hiyo Miaka 50 Lowassa Alikuwa Chama Gani?Nayeye Alishiriki Vilevile Kwenye Uundaji Na Utekelezaji Wa Hzo Ahadi Ambazo Leo Unaziponda Tena Alishika Position Ya Juu Kuliko "the One Who Makes Things Happen" Hon.Jpm Still He Did Nthng!!

tatizo la sasa ni ccm na sio mtu... ccm iondoke kwanza...
 
Ukawa wameshaona dalili zote za kushidwa na sasa wanahaha tu majimboni hali tete na wengi hawatarudi Bungeni kweli
 
Nyamchele mimi siko timu propaganda yeyote Ile nilichoandika ndio ukweli halisi ulivyo kama wewe uko huko timu propaganda pole yako ila ukweli ndio huo
 
HALI MBAYA UKAWA:
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa Ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,Mikakati hiyo ya CCM inewafanya UKAWA kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake.

Kamati iliyoundwa kwa lengo la kumnadI mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe Lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake).

Kwa sasa lowasa amebaki na Sumaye pekee na hata Masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.Aidha kwa upande wa mgombea mwenza Bw.Duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya CUF,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu.

Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa CHADEMA wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa CCM kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.Tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote.

Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!Baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni Lema,Msigwa,Mkosamali,Lisu,Mnyika,Mbowe,Mbatia.Mwenyekiti wa CDM Bw Mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuzi alichukua wa kumkaribisha Lowasa ndani ya chama

Mwanzoni walionekana kidogo wangeweza kuleta mabadiliko, lkni tamaa ya feza imewabadili, kila mtu hapo anaangalia namna ya kupiga dili.
 
Kazi kwelikweli na hivi vyama vya msimu, Magufuli ndiye chaguo la wengi kwa sasa hatudanganyiki.
 
HALIYA TAHALUKI UKAWA
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa Ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,Mikakati hiyo ya ccm inewafanya Ukawa kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake!Kamat iliyoundwa kwa lengo la kumnad mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe Lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake). Kwa sasa lowasa amebaki na Sumaye pekee na hata Masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.Aidha kwa upande wa mgombea mwenza Bw.Duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya CUF,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu!!Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa CDM wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa CCM kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.Tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote!!Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!Baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni Lema,Msigwa,Mkosamali,Lisu,Mnyika,Mbowe,Mbatia.Mwenyekiti wa CDM Bw.Mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuz alichukua wa kumkaribisha Lowasa ndani ya chama
 
Hii hekaya ungewageuzia wenzako walio taabani mpaka mgombea Pombe ameanza kulialia rafu.

Masha leo hujamuona yupo na Lowassa?

Umekurupuka.

CCM imemuachia darasa la saba kuongoza kampeni.

Hali mbaya kampeni ccm,ongezeni wasanii.
 
Hvi ulishapona lile tatizo lako la akili au ndio dalili hizi za ugonjwa umekurudia kwa kasi mpya na nguvu mpya!
 
HALIYA TAHALUKI UKAWA
Hali imezidi kuwa mbaya katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwa upande wa Ukawa baada ya chama cha mapinduzi kuweka mikakati mizuri ya ushindi,Mikakati hiyo ya ccm inewafanya Ukawa kushindwa kuwa na ushirikiano mzuri kiasi cha kila mmoja kujiangalia yeye binafsi katika eneo lake!Kamat iliyoundwa kwa lengo la kumnad mgombea wa urais, wajumbe wake wote wamerudi katika majimbo yao katika kuhakikisha wanashinda huku wakisema suala la urais wanamuachia mwenyewe Lowasa aangaike nalo kwani na wao wanaangalia ugali wa familia zao(yaan kila mtu afe na lake). Kwa sasa lowasa amebaki na Sumaye pekee na hata Masha ameamua kumkimbia baada ya kusoma alama za nyakati.Aidha kwa upande wa mgombea mwenza Bw.Duni nae amechoka kuwafanyia kampeni chadema kwani takriban asilimia 95 ya majimbo anayopita kuna wagombea wa chadema kwa nafasi ya ubunge badala ya CUF,hali hiyo imemkatisha tamaa kiasi cha kufanya kampeni zake kama bora liende ili mradi tu atimize wajibu!!Aidha wagombea wa nafasi za ubunge hasa wa CDM wanakabiliwa na ushindani mkubwa toka kwa CCM kutokana na namna chama hicho kilivyojipanga na pia kutumia utaratibu mzuri wa kumpata candidate wao katika eneo husika.Tofaut na vyama vya ukawa ambavyo wagombea wao wengi hawakukubaliana na utaratibu ule wa kuachiana majimbo,wengi wao ambao hawakupata wamekuwa na kinyongo kiasi cha kuhama au kufikiria kufanya hujuma ili wakose wote!!Kutokana na hali hiyo uchaguzi wa mwaka huu unaonekana utaleta matokeo ya ajabu na upo uwezekano mkubwa wale mapinzani maarufu wasirudi bungeni!Baadhi ya wabunge wanaotajwa kuja liona bunge kwa paa awamu ijayo ni Lema,Msigwa,Mkosamali,Lisu,Mnyika,Mbowe,Mbatia.Mwenyekiti wa CDM Bw.Mbowe baada ya kuona hali hiyo ameamua kuondoka kwenda nje ya nchi japo kujituliza kiakili huku akijutia uamuz alichukua wa kumkaribisha Lowasa ndani ya chama

siyo kosa lako
 
Attachments

  • IMG-20150918-WA0010.jpg
    IMG-20150918-WA0010.jpg
    9.1 KB · Views: 372
Back
Top Bottom