Natamani Sana kumuomba Mungu anifikishe tarehe 25/10/2015 kupiga kura na kujua kuwa nani Lofa na nani msomi.Kauli za kuitwa malofa kunanipandisha hasira nizidi kuchukia ccm na siasa za kibabe za mtu kupanda jukwaani na kutamka atakavyo, kwani tutafanya nini haya bhana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.