Recent content by Lukumboy

  1. Lukumboy

    Redio kujadili mubashara mambo ya Hedhi na Pedi ndiyo maadili ya Kitanzania?

    Daah MI naona wangeandaliwa tuu semina wanawake wakiwA peke Yao
  2. Lukumboy

    Uhakiki kwa mwanamke aliyewahi kutoa ujauzito au kuzaa

    Kuna mtu kanaMbia kwamba mtu aliyezaa au kutoa mimba kunakuwa na kovu zinabaki ktk mji wa mimba so akizaa mara moja kunakuwa na kovu moja,,,, akitoa mimba hivyo hivyo
  3. Lukumboy

    Uhakiki kwa mwanamke aliyewahi kutoa ujauzito au kuzaa

    Naomba kujua hivi Kuna viashiria vyovyote vinavyoweza kuonyesha kama mwanamke amewahi kutoa mimba au kuzaa?
  4. Lukumboy

    Msaada kuhusu hizi degree mbili za Elimu

    Nilisoma HGL but masomo ya sayansi pia niko fit, kama Maths niko vzuri sana
  5. Lukumboy

    Hello JF

    [emoji106]
  6. Lukumboy

    Woga wa wadudu na wanyama au vitu

    Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili. Ufunuo wa Yohana 21 : 8 1.Je waoga hawa wanaotajwa hapa ni waoga wa aina gani? 2.Je...
  7. Lukumboy

    Hello JF

    Numbisa kuwa mpole bhana, unaninyanyapaa
  8. Lukumboy

    Hello JF

    Sina chama but ni mchambuzi wa siasa, sifungamani na upande wowote
  9. Lukumboy

    Msaada kuhusu hizi degree mbili za Elimu

    Nataka kuaply kusoma degree ya education. Nimeambiwa hizi ziko mbili moja ukimaliza unakuwa mwalimu wa chuo na nyingine unakuwa mwalimu wa secondary (a) Hii ambayo unakuwa mwalimu wa chuo inaitwaje? (b) Hii ya secondary inaitwaje? (c) Ipi ni mzuri zaidi. Naombeni msaada kujuzwa pamoja na...
Back
Top Bottom