Hii unasimea digrii ya elimu ya awali,ukimaliza unaweza ukapangiwa kwenda kufundisha vyuo vya ualimu vinavyotoa early childhood education ngazi ya diploma au certificate au kama utapata G.P.A kubwa unaweza ukaachwa chuo kikuu endapo utapata nafasi Vyuo vinavyotoa hiyo digrii ni UDSM na UDOM ila kuna utofauti,UDSM hawana somo la kufundishia,UDOM wanasomo la kufundisha mfano Geography ,Linguistics au Physics.Hii ni kozi nzuri sio tu kwaajili ya ajira bali hata ukitaka kujiajiri kwa kuja kuanzisha Day care na preschools psmoja na kumiliki chuo huko mbeleni.Pamoja na kusoma hiyo digrii unaweza ukakosa nafasi ya kufundisha vyuoni ukapangiwa sekondari.Hii ikoje mkuu
Bachelor of Education in Arts huyu ni mbobez katika masuala ya elimu. Ana posibility ya kwenda kufundsha vyuo vya ualimu. Akienda kusoma masters lazima auchukue kozi za Education. This is a teacher forever, kama nilivosema akitaka kujiendeleza kielimu ni lazima ha deal educational matters.Nimedanganya nini