Woga wa wadudu na wanyama au vitu

Lukumboy

Member
Feb 5, 2017
28
6
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Ufunuo wa Yohana 21 : 8

1.Je waoga hawa wanaotajwa hapa ni waoga wa aina gani?

2.Je nitajuaje kuwa mimi ni mwoga

3.Je nifanyeje ili kuondoka na uwoga ili nisije kutupwa kwenye ziwa la moto
 
mie naogopa panya tu,huwa hadi nakufuru kwanini aliumbwa,nikimwona hata kwenye picha siku yangu inakuwa ishaharibika,huwa nshangaa nikisikia ntwara ndo kitoweooo,aagh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom