Msaada kuhusu hizi degree mbili za Elimu

Lukumboy

Member
Feb 5, 2017
28
6
Nataka kuaply kusoma degree ya education.
Nimeambiwa hizi ziko mbili moja ukimaliza unakuwa mwalimu wa chuo na nyingine unakuwa mwalimu wa secondary

(a) Hii ambayo unakuwa mwalimu wa chuo inaitwaje?
(b) Hii ya secondary inaitwaje?
(c) Ipi ni mzuri zaidi.

Naombeni msaada kujuzwa pamoja na ushauri pia
 
Nakushauri soma.
1.Bachelor of Arts with Education.
Ili uwe mwalimu wa sanaa.

2.Bachelor of Science with Education.
Ili uwe mwalimu wa sayansi.

Kuhusu kuwa mwalimu wa chuo ni bidii yako kwenye masomo ili uwe na ufaulu mzuri(GPA ya 3.8 na kuendelea) ila isiwe GPA ya chuo cha kata.

Hayo mambo ya Bachelor of Education watajibu wengine.
 
Mkuu kumbe kuna gpa ya kata na ya chuo?
 
Bachelor of art in education Hii hapa ndio unaweza kuwa mwalimu wa chuo cha diploma inakuwa na one teaching subject lakin unasoma vitu vingine vingii
Lakin Je una wa kukufanyia mipango ya kupata chuo maana wengi wamesoma na wanajiriwa kama walimu wa kawaida tu secondary.
Pia hii ata kama ukienda kuchukua masters ni ya education tu Ina maana mwalimu milele

bachelor of art with education hii ni mwalimu ambae anakuwa na masomo mawili ya kufundisha hii unakuwa. Mwalimu wa kawaida
Hapa utaenda chukua masters tofaut
 
Vipi na huko makazini, mnalipwa mishahara tofauti na hao wa chuo cha kata? Vipi pia kuhusu promotion na demotion, nazo wanaangalia chuo na chuo cha kata?
 
Kuna BE.d na BA.Ed. Sasa BE.d(yaani Bachelor of Education in Arts utachukua kozi moja Mf.Hist pekee lakini kuna baadhi ya vyuo wanapiga kozi mbili huku moja ikiwa ya kufundishia(Major Course) na nyingine ya ziada(Minor course) Mf.History(Major) & Kiswahili(Minor) kunakuwa na Option. BA.Ed(yaani Bachelor of Arts with Education ambayo utachukua kozi mbili Mf. Geo & Kisw hapa hakuna Option). BE.d ndo anafundisha vyuo vya Ualimu(MKUFUNZI) afu BA.Ed(Mwl. wa Sekondari na si Mkufunzi). Kutokana na uhaba wa vyuo vya Ualimu hawa wa BE.d wanaajiriwa kufundisha Sekondari maana haiwezekani kila mwaka wahitimu wa BE.d kila mwaka wahitimu zaidi ya 2000 wakiajiriwa Vyuoni wengine si watakosa kazi. Kwa mantiki hiyo ya kupiga tafu gurudumu la elimu wa Diploma ni kidato cha I-IV afu BA.Ed ni I-VI, BE.d ni Kidato cha I-Chuo cha Ualimu. Na si kila chuo kinatoa BE.d.
 
Mkuu kumbe kuna gpa ya kata na ya chuo?
We mdanganye, ukaona wapi BA.Ed akawa Mkufunzi? na BE.d awe amesoma cha kata ama vipi anachaguliwa kuwa mkufunzi. Na Ukufunzi ni zali(bahati ikikudondokea unaenda japo GPA pia inaangaliwa).
 
Bachelor of art in education Hii hapa ndio unaweza kuwa mwalimu wa chuo cha diploma inakuwa na one teaching subject lakin unasoma vitu vingine vingii
Lakin Je una wa kukufanyia mipango ya kupata chuo maana wengi wamesoma na wanajiriwa kama walimu wa kawaida tu secondary.
Pia hii ata kama ukienda kuchukua masters ni ya education tu Ina maana mwalimu milele

bachelor of art with education hii ni mwalimu ambae anakuwa na masomo mawili ya kufundisha hii unakuwa. Mwalimu wa kawaida
Hapa utaenda chukua masters tofaut
Naona umeamua kumdanganya kweupeeee!
 
kwanza ulisoma maasomo gani a' level?
tauanzie hapo, maana kuna uwezekano hata tukashauri nje ya hayo ulishoyapendekeza.
kama ww ulisomea sanaa advance, usiende kuchukua ualimu wowote (sijui wa chuo, sjui wa secondary), utapoteza muda. ni bora ukajifunze ujasiliaamali.
 
Nilisoma HGL but masomo ya sayansi pia niko fit, kama Maths niko vzuri sana
 
Naona umeamua kumdanganya kweupeeee!

vyuo vya kata kama vipi ebu vitaja by de way acha dharau ww kuita vyuo vyingine vya kata akunaga chuo cha kata...
Povu hili... Kila mtu ana hak ya kusifia chuo chake awezavyo nmefurahshwa na mwandsh katumia busara kutotaja jna la chuo lkn ww umeonesha waz una inferiority complex kwa jns ulvojshtukia.
 
Back
Top Bottom