uJUMBE KWA MAALIM SEIF,LIPUMBA NA JUMA DUNI
ni wazi kwamba CUF Inapotea mwelekeo na ushawishi kule TZ baada ya kuondokewa na Luwakatare, ni chama kinachoyeyka kama nyasi zinvyoyakua katika moto mkali. nadhani imefika hatua haraka kwa Pr Lipumba, maalim seif, jusa, Duni, Machano, Dimani na...