Kilichoandikwa na MwanaHalisi dhidi ya Shamsa Mwangunga chatimia Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichoandikwa na MwanaHalisi dhidi ya Shamsa Mwangunga chatimia Bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Jul 11, 2009.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika Toleo la Jumatano Julai 8-14 2009 katika Ukarasa wambele uliandikwa UDINI WATEKA BUNGE katika gazeti la MwanaHalisi.

  Ndani ya habari hiyo ilisema" Tayari kunataarifa ya baadhi ya wabunge akiwemo mmoja mwananmke wamejipanga kukwamisha bajeti ya Waziri wa Maliasili na utalii, Shamsa Mwangunga kwa madai hayo hayo ya Udini". Na jana tulisikia Anna Malechela amekusudia kuikwamisha kwa kutumia Meno ya Tembo .

  Jee Anna ndiye alietajwa na Kubenea au yupo mwengine. Ngoja Tuone Hoja ya mzee Kubenea
   
  Last edited by a moderator: Jul 11, 2009
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sorry, sijafuatilia mambo ya bungeni hebu liweke hili wazi zaidi, hii bajeti Anne ataikwamisha kwa sababu ipi ya udini? Fafanua pls!
   
 3. W

  William John 67 Member

  #3
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii hatari sana katika nchi yetu kama ni kweli.
   
 4. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sorry, sijafuatilia mambo ya bungeni hebu liweke hili wazi zaidi, hii bajeti Anne ataikwamisha kwa sababu ipi ya udini? Fafanua pls!

  bi Malechela amekusudia kuikwamsiha kwa sababu ya meno ya Tembo ya kule Vietnam. Lkn Kubenea alisema kunampango wa Kumkwamisha Mwangunga kutokana na dini yake. Jee mwangunga ni Dini gani. Anna Ni mkiristo,Anaeijua Mwangunga atupe
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Basi itabidi amtunze pia Sheikh Yahya !!
   
 6. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  we mzee acha udini, kuiba meno ya tembo (nyara za serikali) unadini? Kama Shamsa anahusika au anafanya uzembe atawajibishwa bila kujali dini yake. Lowasa, Karamagi na Msabaha waliwajibika bila kuulizwa dini zao. Achane kulipeleka taifa kidini jamani.

  Bi Anna Kilango, amesema haungi mkono hoja ya waziri Mwangunga kutokana na facts za utafiti wake juu ya meno ya tembo (container mbili) zilizokamatwa Vietnam. Anna amedai kuona document za kifisadi za TPA nk.

  Heko Kilango, go on mama.
   
 7. L

  LUKULUKU Member

  #7
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we mzee acha udini, kuiba meno ya tembo (nyara za serikali) unadini? Kama Shamsa anahusika au anafanya uzembe atawajibishwa bila kujali dini yake. Lowasa, Karamagi na Msabaha waliwajibika bila kuulizwa dini zao. Achane kulipeleka taifa kidini jamani

  *tUSIMLAUMU MZEE WA HOJA. Alisema kubenea kwamba kuna mbunge mwananamke atamkwamisha Waziri kwa imani yake ya Dini. sasa hayo yameanza kutokea ALiosema kubenea au kuna mbunge mwananmke atajitokeza kumkwamisha Mwangunga badala ya kilango
  ngoja tuone*
   
 8. L

  LUKULUKU Member

  #8
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tayari kunataarifa ya baadhi ya wabunge akiwemo mmoja mwananmke wamejipanga kukwamisha bajeti ya Waziri wa Maliasili na utalii, Shmsa Mwangunga kwa madai hayo hayo ya Udini. ni maandishi ya mwanahalisi
   
 9. m

  mnozya JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mimi nashangaa sana. Mambo ya wazi mnaingiza UDINI? Mnaleta udini kwenye MASLAHI YA TAIFA? HAIYAMKINI WEWE NA KUBENEA MMEANZA KUPANDIKIZA SUMU YA UDINI.

  Kilango alimbana sana Karamagi na Lowasa, Ikija kwa Shabani anaudini!!!!!!!!!!!

  HUKO NI KUFILISIKA KIMAWAZO, Mimi binafsi nina dini yangu na kabila langu ila NILISHADECLARE HATA MAHALA PANGU PA KAZI KUWA MIMI SI MDINI, MTHEHEBU AMMA MKABILA mambo hayo ni personal issues TUSIYACHANGANYE NA MAMBO YA KITAIFA.

  Mwaka juzi mtu mmoja aliniambia KUBENEA ANAUDINI SANA, NA SOMETIMES HUWA ANASUKUMWA NA UDINI, NILIMBISHIA KWA NGUVU ZOTE, ILA JUMATANO ILIYOPITA NILIMFUATA NIKAMWAMBIA NIMESADIKI HOJA ZAKO.
   
 10. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NA SOMETIMES HUWA ANASUKUMWA NA UDINI, NILIMBISHIA KWA NGUVU ZOTE, ILA JUMATANO ILIYOPITA NILIMFUATA NIKAMWAMBIA NIMESADIKI HOJA ZAKO.

  jEE KUBENEA SIO NDIO ALIEFICHUA KARAMAGI NA MSABAHA? au inakuwa tabu anapofichua mambo ktk dini fulani. mzee usitumie Fimbo ya udini katika kutetea jambo. Tumia elimu
   
 11. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tujibu hoja, tusimlaumu mtu. lkn mboan mtu huitwa mdini anapotetea dini Fualani na mwengine huitwa mzalendo
   
 12. m

  mnozya JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Fantastic mzeewahoja kuona kumbe ni lazima tutumie elimu, lakini elimu kwa maana ya elimu ni broad term. Tuache hilo ila tujihoji wenyewe yafuatayo

  1. Hoja ya Dialo imehusika vipi na udini? Je haikuwa na mantiki kwa maslahi ya Watanzania na Taifa kwa ujumla?

  2. Alichokisema Jenista ni uongo? Waulize maafisa utumishi amma wafanyakazi wa local government wanavyosota kwa uzembe wa idara kuu ya utumishi. Mhagama alitoa ushahidi kuthibitisha anachokisema. Je kuwatetea wafanyakazi wanaotumia nguvu zao kuhudumia umma ambao nguvu zao hazithaminiwi kama Katiba ya nchi pamoja na sheria za kazi zinavyoagiza ni UDINI? GHASIA ALIFUATWA MARA KADHAA LAKINI HAKUCHUKUA HATUA; HUONI KUWA ANAPASWA KUWAJIBIKA? JIULIZE KWA MAPANA MADHARA YA KUWANYIMA HAKI YAO NA JINSI INAVYOCHANGIA UJINGA NA UMASKINI KWA TAIFA UKIZINGATIA KUWA HAWATAWEZA KUMUDU KUSOMEHA FAMILIA ZAO.

  Mwenye ufahamu na elimu anaweza kweli kumjengea Jenista hoja ya UDINI? PIMA NA UAMUE MWENYEWE BAADA YA KUTAFAKARI.

  Sasa yamekuja kwa Shamsa eti ni udini, JE HUPIGI GHARAMA TAIFA LIMEATHIRIKA KWA KIWANGO KIPI? MZALENDO WA KWELI MWENYE UCHUNGU ANAYELINDA MALI YA TAIFA KWA MUJIBU WA KATIBA TUMUONE NI MDINI? ETI ANAMSAKAMA SHAMSA? MZEE WA HOJA UNAONAJE HAPO?

  JE TWAWEZA KUAMBIWA AMA KUAMBIWA NI KWA NAMNA GANI HAO WAZALENDO WAMEINGIZA UDINI?
   
 13. F

  Froida JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Hayo ni yenu shamsa mumewe ni mkatoliki na wanawe ni wakatoliki nyumbani kwake jumuiya inafanyika endeleeni kulumba kwa ujinga wa kutaka kuugeuza nchi iendeshwe kidini badala ya kusimamia maslahi ya taifa thread kama hizi zinatkiwa ziwe deleted ovyo kabisa

  kontena mbili za meno ya tembo zinakamatwa vietnam wewe watu wakisema unasema wa dini uliona tembo mmoja ana pembe ngapi mpaka makontena mawili ya 40 feet yakamatwe unadhani ni tembo wangapi wameeuliwa
  hao waliokuwa wanawalinda hawa wanyama walikuwa wajinga mpaka sisi tukawakuta unataka watoto wetu wasikute kitu kwa sababu ya wahuni wachache
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Udini udini....hadi lini!!tutafika kweli?
   
 15. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mi nashangaa, kwani huyo Mwangunga yuke pale kwa sababu ya Dini yake? ama yuko pale kwa sababu ya utendaji kazi wake raisi alimuona anafaa akamteua kushika wadhifa huo?

  kama hakuteuliwa kwa misingi ya udini, iweje anapo wajibishwa kwa majukumu yake ionekane ni udini ndo unafanya awajibike?

  Kama dhana ndo hiyo manake hata kumbe hiyo nafasi alipewa kwa sababu ya dini yake?

  Nadhani mnako tupeleka siko! Sasa hivi mnataka kila mtu popote utakapo mkuta iwe nikutenda mema ama mabaya utangulize dini yake? Nadhani CCM na JK mnaliangamiza taifa letu! Nooooo please, msitupeleke huko!
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  mi nani mods awe makini na huyu bwana anaeitwa Mzee wa hoja, huyu bwana yuko bize kuivuruga JF na kuigawa kwenye misimamo ya Dini, hana hata post moja ambayo haizungumzii uislamu, mi nadhani afungiwe tu hana constructive hoja zaidi ya ujinga tu
   
 17. B

  Bob K Member

  #17
  Jul 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  some times mzee wa hoja ukikosa cha kuzungumza nyamza sasa angalia ulivyoumbuka bajeti imepita na waziri mama shamsa mwangunga amesema kuwa watu tisa walikamatwa kuhusiana na tukiao hilo na watafikishwa mahakamani na bado polisi wa inter pole na watu wa wizara ya maliasilia watafuatlia mzingo huo huko vietnam sasa udini uko wapi hapo au tuu ulitaka useme uonekane upo. acha mambo hayo ya udini na kazi hata angekuwa mpagani bado angefuatwa na mkondo wa sheria caha muhimu uwajibikaji na mimi naona hao tisa hawatoshi wako wengi kwa michezo hiyo unajua ilishwahi ripotiwa kuwa kampuni nyingi zinazotorosha nyara za taifa ni za watu wa wizara ya malia asili sasa cha muhimu ni kulifanyia kazi wizarab hiyo inataka mtu tafu kama magufuli kumejaa wizi mtupu
   
 18. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  post yangu ya hapo juu nimeshasema huyo jamaa katumwa kuja kuigawa hii JF kwa misimamo ya kidini, hajawahi kuwa na hoja hata moja ya maana tangu aingie humu JF, huyu bwana ni wa kufungiwa tu
   
 19. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Inaonekana wewe na Game Theory (kama si mtu mmoja) ni product ya "cloning" from one type of species...
   
 20. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hata mimi sasa naona kuna watu wamepandikizwa hapa kuja kutugawa katika dini ili tusijadili mambo kama timu. Kuna jukwaa la dini kama ana hoja zake aje huko.

  Nakuunga mkono Kituko huyu mtu aangaliwe kwa makini na asipojirekebisha ni bora akafungiwa kwa kweli.
   
Loading...