Kiti Cha Mh Spika ndani ya Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiti Cha Mh Spika ndani ya Bunge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LUKULUKU, Jul 7, 2009.

 1. L

  LUKULUKU Member

  #1
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Juzi Jumamosi 3/7/2009 Usiku nilisikiliza redio imani kuhusu mjadala wa mahakama ya kadhi ikitolewa na masheikh wakuu wa kiislam nchini. moja ya hoja iliozungumzwa ni kwamba akitokea Mbunge akimuuliza swala Waziri mkuu katika maswala ya papo kwa papo swala linalohusu waislam Bungeni au waziri yeyote akiulizwa swala hilo Spika Huingilia kati na Kujibu yeye badala ya kumuachia Muhusika kujibu jambo ambalo baadhi ya waslam wanaofuatilia bunge wanaliona kwamba spika hatendi Haki hasa kipindi hichi ambapo bunge liko wazi katika kujadili jambo muhimu kama Vile Richmond, Mahakama ya Kadhi na OIC.

   
  Last edited: Jul 7, 2009
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  kwa kuanzia, hebu tuambie we mtazamo wako au msimamo wako ni upi ili tunapojadiliana kuhusu hilo tujue mleta hoja ana mtazamo gani. kwasababu ni mambo mengi spika amekuwa akiwajibia mawaziri ama tuseme amekuwa akiwazuia mawaziri wasiyajibu. sasa kabla hatujaenda mbali wewe unasemaje?
   
 3. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Richmond inahusu taifa zima ukiwemo na wewe na mimi Mahakama ya kadhi na OIC inahusu kikundi cha watu si taifa zima. Je kipi ni bora?
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Suala hapa kwanini majibu hayo asiachiwe anayeulizwa na badala yake Sitta anajibu yy kama vile anaeulizwa hana hana majibu au hajuwi kujibu?
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  Wakuu hivi mmesha-note kwamba sasa hivi Rostam and his co anautumia sana uislam kuwashambulia wale watu wanaomsakama?
   
 6. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Rostam kaingiaje hapa tena! yaani sasa kila kitu ni Rostam, Rostam hakuna mengine ya kujadili, watanzania bwana
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2009
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwani Igunga aliingiaje? Ikulu aliingiaje? Richmond a.k.a Dowans aliingiaje?
  Kagoda aliingiaje? na kwingineko unaweza malizia mwenyewe aliingiaje?
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .,
  Labda utukumbushe, tunachokumbuka sisi RA alishasimama kanisani ktk kujisafisha kwahiyo nadhani Wakristo ndio wanaotumika.
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .,.
  Nadhani hii mada kuna watu imewakera so wanajaribu kuiuwa!
   
 10. M

  Mr II Senior Member

  #10
  Jul 7, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  watu wote waliofilisika sera vichwani mwao hujihalalishwa kwa kutumia dini,ukabira,rangi nk. Nadhani suala la kuwa au kutokuwa na mahakama ya kadhi linajadilika na lisitutenge kama watanzania. Tunaomba wale wanaotaka tuwe na mahakama ya kadhi watoe hoja za kutulidhisha na wale wanaokataa uwepo wa mahakama hizo watupe hoja pia. hapo tutapima na kuamua. Najua wanasiasa wengi huogopa kujadili na kuamua hili hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mwakani. Kuna maswala mengi wanayoogopa zungumzia sasa kama ya kero za Muungano, katiba mpya, marekebisho ya seria mbalimbali nk. Kumbukeni sisi ndio tulio waweka madarakani na tunatakiwa tuwe na uwezo wa kuwaondoa tusipo ridhiaka na utendaji wao.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
   
Loading...