Recent content by luki2

  1. luki2

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    duh..Mungu awatangulie ndugu zangu..msikate tamaa hakuna jambo lisiloshindikana
  2. luki2

    Natafuta mke wa kuoa

    hahaha!!sio kwel jmn..kila kitu kinapangwa huwez jua mwez wako mtakutana ktk mazingira gan though hawa wa hku JF dah ni ngum kumjua who is the right 1!
  3. luki2

    Natafuta mke wa kuoa

    husband material!!sifa nzur sana
  4. luki2

    Ukosefu wa Nidhamu Kwa Mfanyakazi

    Mkuu tafadhali nisaidie katika hili. Anafanya kazi katika kampuni ya mtu binafsi. Mtu huyu amekua na tabia ya kukosa nidhamu kazini mara nyingi kazini anakuja amelewa. Mwajiri amechukua hatua ya kumsimamisha na sio the first time alishasimama tena kama wiki mbili akarud kazini amemiss behave...
  5. luki2

    hello!!

    asanteni sana ndugu zangu!!
  6. luki2

    Umri halisi wa celebrities wa kibongo. ..Part 1.

    Hahaaa!!watu hawataki kuzeeka jamn
  7. luki2

    hello!!

    hilo jukwaa nachagua vp!?mgen sielew chochote..nisaidie plz
  8. luki2

    Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    jaman kwel zinachanganya hatari..mm nliikuta sehem bei nzur na mtu akanihakikishia ni yenyewe kumbe ni mchina..inaudhi sana jmn wachina hawaaa hampitwi???
  9. luki2

    hello!!

    asante sanaa
  10. luki2

    Jinsi ya kumrudisha umpendaye

    swala la kurudiana inategemea na sababu gn iliwafanya mkabreak up kuna sabb nyingine yan unakuta mtu kakosea na haziwezekani kurudisha mapenz hata kama ulimpenda kias gan zaid tu utaonekana ---- au -----.zaid sana utatumia ubinadamu kusema nimesamehe bt kuwa nae tena no
  11. luki2

    hello!!

    habar zenu jaman..happy to be here..lov u all
  12. luki2

    Kwa wale wa mwanza jamani,

    Mmh una hatar ndugu hko unapochepukia sasa sio utarud na matope!take care
  13. luki2

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Paul Makonda ana mdomo mchafu!huwezi kuumwita mwenzako shetani.amejitetea kwa kunukuu vitabu vitakatifu kua vinataja shetani kama baba wa waongo but katika vitabu hivyo havituamuru kuwahukumu wenzetu"usihukumu usije ukahukumiwa"kubali kuwa umekosea uombe radhi.usitake kupata jina kwa kuongea...
  14. luki2

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    "Itaboresha kitu gani kwenye katiba?" mpaka wajumbe wote wamalize kuchangia tutajifunza maneno mengi sana ya mipasho.mithali na misamiati!!kuna wajumbe wana uswahili humu ndani sijui mh JK aliwachukua kwa vigezo gani.hi ni hatari jamani sujui tufanyeje
Back
Top Bottom