Jinsi ya kumrudisha umpendaye

Jinsi ya kumrudisha umpendaye

Sasa ngoja nifanye mchakato wa kukurudisha wewe kwanza....
Mmmh sidhani kama utafanikiwa maana nafungiwa ndani hataki utamu nimpe mwingine.....halafu uuuur..utamuweka wapi?
 
swala la kurudiana inategemea na sababu gn iliwafanya mkabreak up kuna sabb nyingine yan unakuta mtu kakosea na haziwezekani kurudisha mapenz hata kama ulimpenda kias gan zaid tu utaonekana ---- au -----.zaid sana utatumia ubinadamu kusema nimesamehe bt kuwa nae tena no
 
Back
Top Bottom