Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Hata haihitaji kufikirisha kichwa, apart from RAM, Processor, Resolution na vtu vngne like benchmark performance i think njia ya kutumia IMEI is the esiest way. Chukua hiyo simu unayotaka nunua angalia IMEI zake then ingia www.imei.info hiyo website kuna sehem watakwambia "Enter your IMEI here" then utaclick button iliyo mbele yake . ikiload itakuletea infomation za cm yako kila kitu, specifications zote. Kwa kawaida izo cm clone hazina IMEI ambayo ni valid. Mfano hiyo picha kuna dada flan alinambia kanunua galaxy note 3 kwa laki tatu tu. Nikashangaa sana so i told her to send me her phone's IMEI check izo namba tu zilivyo weird hakuna kitu hapo ukiingiza kwene ile site simu haitambuliki
 

Attachments

  • 1394738191255.jpg
    1394738191255.jpg
    11.5 KB · Views: 778
mi natumia hiyo s4 clone wkt naichukua sikua hata nahaja ya kuichunguza sababu nilipoona ina gesture na airview na zinafanya pamoja na 3g ipo vizur nkabeba tu mana nilibadilishana na jamaa yy nimempa htc desire hd ambacho aliipendea ile simu ni camera yake ipo very clear 8 mp ila hakunambia kama hii simu camera yake ni mbv nami ile simu ilikuwa haina 3g nasikumwambia zunguka kote wameshindwa jamaa akanambia imekosewa kiwandan bc ila nilikuwa mnyonge kwel bt kwa hii s4 weka s4 yako original nami niweke hii ukiwa na macho yakawaida hugundui kitu mi niligundua kuwa si yenyewe baada ya kucheck kwa imei check bc lkn ina kila kitu na ninaifurahia kuliko lile janga la htc
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake


hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg


Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Vp kuhusu tecno Mkuu!!!
 
Zima sim, halafu halafu bonyeza button ya power on moja kwa moja na huku unabonyeza botton ya sound up haraka haraka. Inafuta kila kitu hakikisha memory card umeitoa.
nisaidie jinsi ya kutoa password niliingiza namba nikazisahau
#chief mkwawa
 
jaman kwel zinachanganya hatari..mm nliikuta sehem bei nzur na mtu akanihakikishia ni yenyewe kumbe ni mchina..inaudhi sana jmn wachina hawaaa hampitwi???
 
Huu uzi utakuwa na maisha marefu sana maana siku hizi simu hizi zimejaa hapa bongo bhalaa yaani mtu kabeba bonge la simu kumbe duh hajui ikiwa ni original ama feki ila ufumbuzi nadhani ni kununua kwa super deals tu.:A S check_03:
 
kwani kuna ubaya gani kutumia s4 clone? kwetu watanzania hizi clone zinatufaa sana ukizingatia tulio wengi ni walalahoi, hatuwezi kununua original kesho tukashindwa kuwekea vocha.
 
Bonyeza nyota hash 0 6 hash kisha kitufe cha kupiga, angalia tarakimu ya sana na nane kama si 0 fake
 
Hata haihitaji kufikirisha kichwa, apart from RAM, Processor, Resolution na vtu vngne like benchmark performance i think njia ya kutumia IMEI is the esiest way. Chukua hiyo simu unayotaka nunua angalia IMEI zake then ingia Check IMEI - IMEI.info hiyo website kuna sehem watakwambia "Enter your IMEI here" then utaclick button iliyo mbele yake . ikiload itakuletea infomation za cm yako kila kitu, specifications zote. Kwa kawaida izo cm clone hazina IMEI ambayo ni valid. Mfano hiyo picha kuna dada flan alinambia kanunua galaxy note 3 kwa laki tatu tu. Nikashangaa sana so i told her to send me her phone's IMEI check izo namba tu zilivyo weird hakuna kitu hapo ukiingiza kwene ile site simu haitambuliki

nna samsung 4 ila tofauti tofauti akuna ata moja ilokubali imei online zote imeniambia invalid ndo kusema meo lkn zote ni za ukweli
 
kwani kuna ubaya gani kutumia s4 clone? kwetu watanzania hizi clone zinatufaa sana ukizingatia tulio wengi ni walalahoi, hatuwezi kununua original kesho tukashindwa kuwekea vocha.

hakuna ubaya wowote kaka hela ni yako mwenyewe hakuna wa kukupangia matumizi. Lengo la uzi huu ni kutahadharisha wale wanaouziwa clone wakidhani ni original
 
Mungu wangu!

Juzi mama mkwe wangu kaletewa Galaxy S4 kwa laki 6! Muuzaji anajitapa kuwa anazipiga dukani kwa Muhindi, kumbe ukweli uko huku JF! Hizi technology, tutakoma!
 
lengo ni kununua simu itakayodumu miaka 100 ? au simu itakayokuletea heshima kwa wenzako? au simu inayokidhi mahitaji yako?
 
Back
Top Bottom