Recent content by Lukemp

  1. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Who is Fatma Karume? | Fatma Karume ni nani?

    Kuna majitu humu yanatumia tecno,tena hata kununua hiyo tecno yamejinyima kweli lakini yanajifanya yanafia chama kwa kutetea ujinga
  2. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Serikali iongeze ufanisi katika kuwakamata hawa akina Lissu, kupitia kukamatwa kwao viwanda vinaongezeka nchini na uchumi unakua kwa kasi ya aina yake.
  3. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Utoto unamsumbua,akikua ataacha mkuu!
  4. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Na kuna faida gani waipatayo wapiga kura kwa mbunge wao kubaki bungeni na kuchangia PUMBA Kama hizi "Tubadilishe sheria wapinzani wasiruhusiwe kufanya mikutano" "Tutoe sanamu la askari ili tuweke la msanii diamond kwa kulitangaza taifa" "Mke wangu amejifungua mtoto wa kike na kwa jinsi...
  5. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Kuna mtu aliwahi kusema mwisho wa upinzani ni 2015,cha kushangaza huo ndio ukawa mwisho wake yeye kwa KUCHAKAZWA na ka-BINTI KADOGO tu!!
  6. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Iran kununua ndege 100 kutoka Boeing

    Kabisa..
  7. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Iran kununua ndege 100 kutoka Boeing

    Tunafanya upembuzi yakinifu Kama intelijensia itaruhusu!
  8. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Video: Shilole asema amepata bwana mpya lakini "anamgonga" mpaka basi

    Hivi vibinti vya bongo havina hata soni.. Unaweza ukavipitia na vikaja kutangaza hadharani vikakushushia utu wako.
  9. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Polisi wamsaka ...

    Siku zote ukiona mtu anakuzuia usiseme kuhusu yeye ujue anayo MAKANDOKANDO tele na hayo MAKANDOKANDO yanamfanya ashindwe kujiamini. Pia mtu huyo labda anawalisha wenzake MATANGO PORI na anahofia wewe unaejielewa ukiongea utafanya wanaomezeshwa MATANGO PORI wazinduke. Labda pia mtu huyo UWEZO...
  10. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  11. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Robert Mugabe

    Tanzania kuna viwanda vya kutengeneza uongo..
  12. Lukemp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I need a male friend to chat with

    Lazima mmoja aliwe kwa vyovyote vile..
  13. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Usiku mwema wa mwendokasi[emoji6]
  14. Lukemp

    JamiiForums Tanzania Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

    Jingalao Jambilo
Back
Top Bottom