Recent content by Lugwal

  1. L

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Na hiii pandemic wako kwa process
  2. L

    Shughuli gani ataweza fanya aliyesom 'Bachelor of Science in Physics (BSC-PHYS)'?

    Ukiangalia kwa kina sio kila product ya chuo inasehemu ya kwenda....mitaala ya chuo kulingana na teknolojia na hali ya sasa maranyingi unakuta kuwa haviendani....na mitaala mingi inapaswa kuongezewa cozi mbali mbali ambazo zitafanya ziwe na mashiko mtaani. La serikali inapaswa kujua wale...
  3. L

    Mzigo ni wako kwa nini wakupangie matumizi

    Hahahaa dah na ukishapiga shoo inakuwa kama Alteza imetembea kutoka Dar sasa upo nzega unajaza mafuta yenyewe inapumua
  4. L

    ONIOMANI – MANUNUZI YALIYO KUBUHU-COMPULSIVE BUYING DISORDER

    A very good site of the problem...the world has now an incredible in stress,depression,anger and anxiety so on and so forth...so people find CBD will sooth their soul...GOD help us.
  5. L

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    I dont know. ...the referee overlooked
  6. L

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Hi Ina mchanganuo safi sana...natafuta Enzo mwanza niweze kuthubutu huu mradi....kwakuwa mwanza kuna ziwa victoria me mradi huu utakuwa na Tina ukijaribu kuangalia kuwa ziwa Lina supply na bwawa pia.
  7. L

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kama kuna njia ya kuuboresha naona nivizuri tuboreshe
  8. L

    Mbowe lazima akubali yeye sio CHADEMA na lazima achunguzwe

    Mbona mtoto wa kike wa katibu wa zaman wa chama cha panya naye anayo inamana nae haonekan muanze nao kwanza hatudanganyiki kabisa katika hili la kuchafua watu il waonekane hawafai
  9. L

    Mbowe lazima akubali yeye sio CHADEMA na lazima achunguzwe

    Haitasaidia hta kama yy ni mafisadi hawawafikii nyie ukoo wa panya nyie changes iko palepale 2015 tumeshawachoka
  10. L

    Neema zaidi kwa watanzania-Survey shows huge gas, oil potential at Kilosa-Kilombero

    Hiyo ni neema kwa viongoz wa sirikal kuwaongezea ulaji na sio wananch madin km dhahab tanzanit yabakaribia kuisha tangu yagunduliwe na kuanza kuchimbwa sabab kuna mianya mingi ya rushwa na viongozi kubebana kwa ufisadi hakuna jipya hap zaid kuleta shida kwa wananch
  11. L

    Utoro wa wabunge wa CHADEMA bungeni.

    Inamana wabunge ccm hawapo mpka utuletee taarifa ya kijinga hum jf utuambie basi anaye wahi kuingia bungen ninani ?unaleta vitu ambavyo havina tija humu kwa mstakabal wa nchi ukiwa unataka majib sahihi linganisha na wa ccm tutajua kwel umefanya utafiti na pia tujue wanao sinzia kwa ccm na cdm...
  12. L

    CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

    Na ya ccm huyaoni familia kuingia nec na kuwapa watoto wenu uongoz husein mwiny makamba karume nk huyaoni au kwa upande wa ccm unakuwa kipofu kibaraka ww na mchochez mkubwa
  13. L

    Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

    Ponda kapigwa na serikali ya ccm ambaye mw\kit wake tunajua ni din gan je ccm ni wakristo wote kwa kumpiga ponda simama jitambue muache propaganda
  14. L

    Matiko Matare ni mzima

    ishakuwa sooo
  15. L

    Waziri wa Nishati anapolingopea Taifa

    Huku geita hii ni wiki sasa unakatika asubuhi na kurudi jioni....ukirudi unakuwa hauki stable.... Nadhani anazungumza ila hana ufahamu kuwa kile shirika linafanyaje kazi...
Back
Top Bottom