Utoro wa wabunge wa CHADEMA bungeni.

Utoro wa wabunge wa CHADEMA bungeni.

Muda mwingine si kwamba wanakuwa hawapo bungeni bali hawajaonekana kutoka na kutochangia au kamera kutopita maeneo walipo Mkuu.Maana si wabunge wote huoneshwa kipindi cha mjadala.

i dont thnk xo coz wanakaa kwenye row yao peke yao.
 
mbunge mda wa bunge kuwa katika harakati za kisiasa ni kosa ndugu zangu. .kwani kuna watu ambao si chadema lakini walimchagua lema kutokana na uwezo wake. Pili lema au mbunge yeyote hawawakilishi waliompigia kura tu , mbunge anapewa dhamana ya kuwakilisha jimbo zima watu wote ccm chadema na wasio na chama. Sio fair mda wenzako wanapitisha miswada your nat there alafu mwisho wa siku unakuja kulalamika ccm wabaya

Acha ushambenga we falla, kukomboa nchi siyo siasa bali kazi na haki ya waliotumwa na wananchi wanaohitaji ukombozi.

Mfano Lema wakati bunge linaendelea yeye alikuwa jimboni akiwatumikia wananchi wake.

Ukipevuka utaelewa
 
lema,nasari,arfi ndesamburo, v.nyerere,zitto,wenje,msigwa,kiwia. . etc
 
Wabunge wa Chadema wengi wanaitumikia Chadema kuliko wananchi waliowachagua.

ZERO!
Compare and Contrast between Wananchi na CHADEMA.

Wananchi ni akina nani na CHADEMA akina nani? refering to hali kisiasa nchini!
 
mbunge mda wa bunge kuwa katika harakati za kisiasa ni kosa ndugu zangu. .kwani kuna watu ambao si chadema lakini walimchagua lema kutokana na uwezo wake. Pili lema au mbunge yeyote hawawakilishi waliompigia kura tu , mbunge anapewa dhamana ya kuwakilisha jimbo zima watu wote ccm chadema na wasio na chama. Sio fair mda wenzako wanapitisha miswada your nat there alafu mwisho wa siku unakuja kulalamika ccm wabaya

unasemaje kuhusu wale wanahudhuria lakini wanalala bungeni na chochote spika akiuliza wanaitikia ndiooooo
 
Hata wale wa CCM wanaona na kuyafahamu hayo ya CHADEMA, sa we kujifanya mwana CHADEMA wakati we ni CCM hiyo so issue. Kwenye greater thinkers kama hapa we si mwana CHADEMA!
 
Yupo mbunge wa CHADEMA anayeishi Marekani, Leticia Nyerere. Mtu kama huyu usitegemee ahudhurie mikutano yote. Yeye uhudhuria zaidi vikao vyenye pesa nyingi kama Bunge la bajeti. Kule Marekani pia ameajiriwa.

Ni yule wa viti maalumu. Huko ughaibuni anamuongoza nani sasa?.
 
Hoja nzuri ila watoro ni watoro tu hakuna haja ya kuwatenga kichama!!!!!
 
Nimecheka na kufurahi sana ulivyoanza thread yako kwa kujihami.

Katika ujumla wake, umetoa hoja nzuri ya kujenga hasa kwa kuwakumbusha wasijisahau!
 
Yupo mbunge wa CHADEMA anayeishi Marekani, Leticia Nyerere. Mtu kama huyu usitegemee ahudhurie mikutano yote. Yeye uhudhuria zaidi vikao vyenye pesa nyingi kama Bunge la bajeti. Kule Marekani pia ameajiriwa.

si kweli,Leticia hajawahi kukosa kuhudhulia vikao vya bunge.
 
Acheni upumbavu nyie magamba,mbunge wa singida mjini bw,Dewji mbona ameonekana bungeni siku ya kuapishwa tu?
 
Hata wale wa CCM wanaona na kuyafahamu hayo ya CHADEMA, sa we kujifanya mwana CHADEMA wakati we ni CCM hiyo so issue. Kwenye greater thinkers kama hapa we si mwana CHADEMA!

tatizo la muafrika hataki kukosolewa. .hatuwezi kujilingnisha na ccm wao wako wengi ndo maana siku wanapitisha muswada walikua nusu ya wabunge wao hawako bungeni lakini muswada ukapita, walikua mia tu. . .cdm hatujapewa nchi bado tu si disapoint wananchi
 
Inamana wabunge ccm hawapo mpka utuletee taarifa ya kijinga hum jf utuambie basi anaye wahi kuingia bungen ninani ?unaleta vitu ambavyo havina tija humu kwa mstakabal wa nchi ukiwa unataka majib sahihi linganisha na wa ccm tutajua kwel umefanya utafiti na pia tujue wanao sinzia kwa ccm na cdm ratio ikoje
 
Wabunge wa Chadema wengi wanaitumikia Chadema kuliko wananchi waliowachagua.
Na wabunge wako wa CCM wanamtumika nani? leo hii unakatwa kodi ya laini ya simu kwa sababu wao waliipitisha bila kujali shida za wananchi. CHADEMA ina wabunge wasiozidi 50 CCM zaidi ya 200 lakini kila siku utakuta waliopo hawazidi 120 hao wengine huwa wanakuwa wapi? je wanawatumikia wananchi au huwa wako katika biashara zenu za SEMBE?
 
Ndesamburo kafanyia makubwa sana Manispaa ya Moshi. Mchango wake wa fedha ni mkubwa sana CDM. Heko Mzee Ndesa!
 
Back
Top Bottom