Habari za uhakika toka kwa raia wa India, aliyepata mkataba wa Kufundisha Sociology UDOM, zinasema kuwa raia wa India wapatao 50, wamepata mkataba wa kufundisha katika Chuo kikuu cha Dodoma, ambapo watalipwa dola za Kimarekani 3,000/ kwa mwezi. Mwandishi wa habari hii, alikutana na jamaa huyo...