Mayahudi Weusi

Hivi wewe kweli unajuwa historia weye! Hivyo vikundi vya kishetani vilisha shindwa miaka kenda. Sasa vinawavisha watoto mabomu? Hivi kweli hiyo ndio allah kawatuma au ndio umwamadi?

Hawakushindwa! wao ndio wamewatoa Israel Lebanon, Namna gani Bana, Mbona unajifanya mjuaji sana, Group ya kiislamu ya kweli (inayofauatia sheria ya kiislamu) haishindwi hata siku moja!, Nadhani wewe pia ni katika wale mayahudi weusi (Wewe ni Maxshimba), you are using two different usernames, am I right ?
 
Hawakushindwa! wao ndio wamewatoa Israel Lebanon, Namna gani Bana, Mbona unajifanya mjuaji sana, Group ya kiislamu ya kweli (inayofauatia sheria ya kiislamu) haishindwi hata siku moja!, Nadhani wewe pia ni katika wale mayahudi weusi (Wewe ni Maxshimba), you are using two different usernames, am I right ?

Sasa nimekuwa Maxshimba? Kweli huyo jamaa yangu mnamchukia. lol.
 
Ndugu zangu Wakristo na Ndugu zangu Waislamu,

siku hizi wameenea kila sehemu mayahudi weusi hasa hapa TZ wapo, na nia yao na kazi yao kubwa ni kuwachonganisha wakristo na waislamu ili wasipatane, wanatumia kila njia ili wafanikiwe kutekeleza lengo lao hilo, wanatumia hata internet kueneza vitina zao hizo, hata humu.. wamo, wengine wanajifanya kama vile wakristo na kuanza kuwatukana waislamu, na wengine wanajifanya kama vile waislamu na kuanza kuwatukana wakristo, lengo lao ni kuweka chuki baina ya waumini wa dini hizi mbili zinazo karibiana sana katika imani zao, siwezi kuwataja kwa majina jamaa hawa lakini nyie wenyewe mtaweza kuwajua mkiwa mnapima maneno yao, kwa hiyo, kuweni waangalifu...

nawaomba waislamu na wakristo tuendelee kuishi vizuri pamoja kama mababu zetu walivyo kuwa wakiishi kwa mapenzi na kuheshimiana.


Ndugu Mandago,
Nikiangalia tarehe uliyojiunga JF naona ni mgeni na mambo haya ya udini, hata hivyo karibu sana JF!

HISTORIA FUPI YA JUKWAA LA DINI HAPA JF
Miaka ya nyuma kulikuwa na JUKWAA LA DINI hapa JF kama yalivyo makujwaa mengine. Jukwaa lile lilianza kutoa elimu za kidini kwa wanajamvi. Lakini kadri muda ulivyoenda badala ya kuelimisha watu juu ya dini, jukwaa liligeuka la mijadala ya matusi, hasa ya dini mbili zinazojigamba kwamba ni kuu kwa Tanzania. Matokeo yake jukwaa lilijaa matusi ya nguoni, kashfa na kutishiana maisha kwa wana JF. Matokeo ya kadhi hizo ikawa ni watu kufungiwa kwa muda mrefu na maonyo makali kwa wengine wanaodiriki kupost matusi. Na waliokuwa wanapost matusi hayo kutoka pande hizo mbili wapo hapa hadi leo, na huenda wanasoma post hii! Hawajaacha bado!

KUFUNGIWA KWA JUKWAA LA DINI
Baada ya watu kutokujifunza kutokana na adhabu hizo ikabidi moderators wabadili hilo jukwaa kuwa ni la KUJISAJILI KWANZA kwa kukubali masharti yake, kabla mhusika hajaingia huko, kama ilivyo kwa Jukwaa la ngono.

KUFUTWA KWA JUKWAA
Baadaye jukwaa la dini likatoweka kabisa katika uso wa JF. Kwa kuwa sikuwahi kuingia katikla jukwaa hilo tangu liwekwe kufuli sielewi nini kiliendelea kule ndani. Matokeo yake ndio sababu unakuta kwa sasa posts za kidini ziko kila jukwaa, hadi kwenye jukwaa la burudani.
Dini ni haki ya kila mtu, sielewi tufanyeje kuondoa matusi na kashfa, kwa sababu naona moderators bado hawajatatua kadhia hii ya matusi badala ya elimu!
Nadhani kwa ufupi wewe (Mandago) na wenzako mmepata dondoo kidogo ya tulikotoka, tulipo na tunakokwenda katika mijadala ya kidini hapa JF
Tuendelee kuelimishana bila rabsha!

Idimi
 
Sasa nimekuwa Maxshimba? Kweli huyo jamaa yangu mnamchukia. lol.

Your way of thinking and writting is the same as Maxshimba (I think you are Maxshimba) if you are not Maxshimba! then I am sure you are coming from the mayahudi weusi group as Maxshimba.
 
Your way of thinking and writting is the same as Maxshimba (I think you are Maxshimba) if you are not Maxshimba! I am sure you are coming from the mayahudi weusi group as Maxshimba.

He is my mental
 
inaonekana hamjui mnasema nini mngejua hisoria sahihi mngependa kumjua ismail
 
Your way of thinking and writting is the same as Maxshimba (I think you are Maxshimba) if you are not Maxshimba! then I am sure you are coming from the mayahudi weusi group as Maxshimba.

Mnamchukia Max kwa sababu ya wivu wenu tu unaowasumbua. Shida yenu mnataka kuaminisha watu kwa nguvu uongo wenu mliofundishwa na hamtaki mtu yeyote awakosoe hata kama mnachosema haki-make sense.

Poleni sana hii ni enzi ya uwazi hata kama ukweli unauma ni lazima usemwe.
 
Ni nani aliyewadanganya kwamba Imaeli ana mahusiano na kizazi za waarabu? Hata mumnasibishe na ukoo wa muhamad? Waarabu walikuwapo misri hata kabla ya Ibrahimu kwenda huko. Hajari mjakazi wa Abraham ndie aliyekuwa mwarabu na wala sio Abraham anaedhaniwa kuwa mpeshia(mkaldayo) kutoka ktk nchi ya Babel(Iraki kwa sasa). Nitakubaliana na ninyi tu ikiwa ya kwamba mwarabu ni ubin wa mama tofauti na asili kwamba u-bin wa mtoto ni kwa baba. Kwa vyovyote kuna usanii unachezwa hapa kuficha uhalisia wa mambo!
 
Ni nani aliyewadanganya kwamba Ismaeli ana mahusiano na kizazi cha waarabu? Hata mumnasibishe na ukoo wa muhamad? Waarabu walikuwapo misri hata kabla ya Ibrahimu kwenda huko. Hajiri mjakazi wa Abraham ndie aliyekuwa mwarabu na wala sio Abraham anaedhaniwa kuwa mpeshia(mkaldayo) kutoka ktk nchi ya Babel(Iraki kwa sasa). Nitakubaliana na ninyi tu ikiwa ya kwamba mwarabu ni ubin wa mama tofauti na asili kwamba u-bin wa mtoto ni kwa baba. Kwa vyovyote kuna usanii unachezwa hapa kuficha uhalisia wa mambo!
 
Wakuu, kwanza kabisa.

Kichwa cha habari ni cha lugha chafu. Wayahudi si Mayahudi kama ulivyo weka hapa.

Hivyo basi, kwa kusoma tu kichwa cha habari, mwenye akili timamu ataelewa ni nani hapa anachonganisha watu na mwenye lugha chafu.

Igunga: Yesu Kristo ambaye ni Mungu wangu, akurehemu, ili siku moja uweze kufahamu njia iliyo ya kweli ambayo ni yeye mwenyewe Yesu Kristo.

Mwisho,

Yesu Kristo ni Mungu na anawapenda wote, so do I.

Karibuni kwa Yesu Kristo, mlango upo wazi.

Katika huduma yake,

Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ.
Max Shimba Don't urge with...........people may not.......
Naamini kuwa hoja hii haina miguu wa mikono.
 
Nadhani ni sahihi kujadili maswala ya dini kwa mtizamo 'positive', lakini kwa kuwa wengi wetu uvumilivu wetu kwa asiye wa upande wetu ni robo, na kwa kuwa swala la imani ni 'private matter' zaidi, hivyo unapojadili imani za watu kwa kweli inakupasa uwe makini. Mijadala mingi ya kidini tumeishuhudia hapa JF ikionyesha kukosekana kwa busara au aina furani ya kushambuliana! Jambo hili hapa si mahala pake licha tu ya ukweli kwamba halifai lakini pia linamunyesha mhusika kama mwenye upeo duni katika mambo mbalimbali.
 
Mimi ni myahudi mweusi. Bila uyahudi kusingekuwepo na Ukristo wala Uislamu. Tumewafundisheni dini na kuishi vizuri, bila dini mngekuwa mnakatana mapanga tu.
 
kwanza kuwaita wenzio MAYAHUDI ni kosa kubwa sana. ni sawa na mimi nianze kuwaita watu MAARABU. wayahudi hawana kosa lolote hata kuwaita hivyo. dini yao ni nzuri, na Mungu wao ndiye Mungu wa kweli. Mungu wao sio allah wa a jini subiani. mleta mada ana chuki binafsi na wakristo na wayahudi. anataka kuwavuta waislam ili ionekane yeye si mdini, kumbe ni mdini wa kwanza. umelaaniwa wewe unayewatukana wayahudi. omba Mungu wao akurehemu pengine utapona.

Na wewe pia umelaaniwa kwa kutukana waislam kwamba wana Allah wa jini subiani...
 
Jamani hivi mtaelimika lini huu nauita ujinga tena mkubwa tu! leo hii nikiuliza mchango wa Jews kwa watanzania vizazi na vizazi hawata sahau ,
udsm,bugando,muhimbili n.k

ukiulizwa mchango wa warabu nini zaidi ya kuwachukuwa wababu zetu na kuwapeleka arabuni kisha kuwa khani**(tusi) ndio maana hakuna waarabu wenye asili ya Tanzania.

Jews long long live.
 
Mimi ni myahudi mweusi. Bila uyahudi kusingekuwepo na Ukristo wala Uislamu. Tumewafundisheni dini na kuishi vizuri, bila dini mngekuwa mnakatana mapanga tu.

Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.
(Quran 2:87)

Na walisema: Nyoyo zetu zimefunikwa. Bali Mwenyezi Mungu amewalaani kwa kufuru zao: kwa hivyo ni kidogo tu wanayo yaamini.
(Quran 2:88)


Na kilipo wajia Kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha. Basi laana ya Mwenyezi Mungu juu ya wakanushao!
(Quran 2:89)

Kiovu kweli walicho jiuzia nafsi zao, nacho ni kule kukataa kwao aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, kwa ajili ya kuona maya kwa kuwa Mwenyezi Mungu humteremshia fadhila yake amtakaye miongoni mwa waja wake. Basi wamejiletea wenyewe ghadhabu juu ya ghadhabu. Na makafiri watapata mateso ya kudhalilisha.
(Quran 2:90)


Na wanapo ambiwa: Yaaminini aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu. Wao husema: Tunaamini tuliyo teremshiwa sisi. Na huyakataa yasiyo kuwa hayo. Na hali ya kuwa hii ndiyo Haki inayo thibitisha yale waliyo nayo wao. Sema: Mbona mliwauwa Manabii wa Mwenyezi Mungu hapo zamani ikiwa kweli mlikuwa Waumini?
(Quran 2:91)
 
Mimi si mayahudi lakini mimi ni Myahudi. Yaani kwa lugha ya wazungu I am a Jew.
Mungu ninayemwabudu ni Jehova na si allah, So what, you mohamed's followers?
Mbona mnatumaindi sana?
 
Jamani hivi mtaelimika lini huu nauita ujinga tena mkubwa tu! leo hii nikiuliza mchango wa Jews kwa watanzania vizazi na vizazi hawata sahau ,
udsm,bugando,muhimbili n.k

ukiulizwa mchango wa warabu nini zaidi ya kuwachukuwa wababu zetu na kuwapeleka arabuni kisha kuwa khani**(tusi) ndio maana hakuna waarabu wenye asili ya Tanzania.

Jews long long live.

Waarabu ndio wameleta ustaarabu hapa East Africa (unajua maana ya kustaarabishwa wee? nenda kacheki kamusi, hata hii lugha ya kiswahili 70% ni maneno ya kiarabu hata kuandikwa ilikuwa inaandikwa kwa herufi za kiarabu!

Hata hizi nambari 123456789 tunazozitumia ni za kiarabu!

lakini mayahudi kazi yao kuuma halafu wanapuliza kama vile panya.
 
Back
Top Bottom