Recent content by lufumbula

  1. L

    Simpendi tena na wala simuamini tena

    Toa maada kamili tatzo ni nn?mpaka unasema humpend toa mambo hadharan bas sster
  2. L

    Kiongozi wa ACT Wazalendo anaishambulia CHADEMA Live star TV

    Chama huki kinamalengo ya kuvuluga kula,na wanatetea ccm hawa,sjaona kuponda chama ambacho hakiko madalakan,ukaacha ambacho kiko nadalakan je watakuwa wanataka uongoz kweli hawa,na nawahakikishia chadema ikipita act hautaiona tena
  3. L

    Kumbe Professor Jay alianza harakati za kombozi siku nyingi

    Mm naikubali sana ndio mzee na kikao cha zalula,hapo alikuwa na maana yake,ukilinganisha na hali ya sasa na chama tawala daaa!! Huyu jamaa noma sana
  4. L

    Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

    Mimi naamin kabisa wtu wameshafunguka saiv watasikilizia tu subili oct
  5. L

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    polite,ww unjua kw nn wanafanya hivo?
  6. L

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Daa sasa vita haina bud kuwepo ee,kikwete anatuhalibia nch jaman daa,kikwete amekuweje jaman mbona kajisahau sana,bas waktist goja tuungane nami nasema hpana,mung u pamoja nac
  7. L

    Urusi inataka kuanzisha Vita Kuu ya Tatu ya Dunia

    Hizo kelele tu za mrus wala hawez atapigika vizuri sana kwanza usa na uk waga hawajidad bali wanafanya kw kitendo,lakin mrus anajitangaz ovyo tu.lakin malekan atampiga mtu kwa akili na elim
  8. L

    Nigeria Election : Muhammadu Buhari wa All Progressives Congress (APC) Ashinda Uchaguzi wa Rais

    Mpaka saiv nchi ya nigeria imechukuliwa na chama cha upinzani kinachoongozwa na buhari mpinZani wa gdluck jonasani aliyekuwa rais wa nigeria aliyekuwa akiiongoza nchi hiyo,hili limekuwa pigo kubwa sana kwa gdluck jonasan, na pia inaonyesha waz waz kuwa democrasia ya nigeria imkuwa sana,uchaguz...
  9. L

    Mshahara wangu mdogo, nifanyeje?

    Uko sawa kabisa BALALE ila kumbuka hapa nipo mjini kabisa ni mm hapa sio mwenyej hata ndugu sina hapa,kwamba ntafuga kuku eneo litakuwa mtihani
  10. L

    Mshahara wangu mdogo, nifanyeje?

    Thanx,mi nipo tabora,kwa wale wanaoujua huu mji vizuri ni busness gani naweza anzisha,na ikaingza kidogo dogo,malengo ya mke wang alisema anataka fan yyte hasa fund wa chelehan,nilijarbu kuongea na walim wakadai 10'000/kq mwez, sasa sjuw nianze na ip kimeza au? Naomba mnisaidie jamani
  11. L

    Rais ajaye awe na sifa zifuatazo

    Ila ccm hatutaki,acha tubadishe chama tuone badiliko,sio kila siku ccm,
  12. L

    NIMR yagundua dawa ya UKIMWI, Tezi dume

    S dhani kama kuna ukweli hapo
  13. L

    Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    Jamani musihic kuwa pengo hajala hele huy kala,tena hatuna imani nae
  14. L

    Iran iko tayari kwa vita na Marekani, Israel

    Kelele tu irani ni siku chache sana mi najua hata panya hujihami tena kw nguvu zote kwa paka,lakini s chochote
Back
Top Bottom