Simpendi tena na wala simuamini tena

Simpendi tena na wala simuamini tena

Toa maada kamili tatzo ni nn?mpaka unasema humpend toa mambo hadharan bas sster
 
Tukushauri nini???

Yaani hujui kama humpendi tena wala kumuamini mtu unapaswa kufanyaje???
 
Amesema simu yake ndo tatizo. Jamaa hata kumbe hakumnunulia guresi simu ya kupangusa.

ahahahahha nacheka sana ahahahhahhaha kweli hampendi yani guresi analia halaf anaaambiwa unamlilia nani jamani mapenzi kuzunguzungu hii itakua mahaba nipotezee
 
ahahahahha nacheka sana ahahahhahhaha kweli hampendi yani guresi analia halaf anaaambiwa unamlilia nani jamani mapenzi kuzunguzungu hii itakua mahaba nipotezee

Guresi tu ameshindwa kusoma mchezo. Alishawekwa wa kukatia kiu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom