Recent content by Ludacris

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nani ajuae kesho

    story ina mafunzo lakini Donald Trump hajawahi kuajiliwa na Mike Tyson.....
  2. L

    JamiiForums Tanzania Success at school vs success in life

    Toa neno "wote" hapo halafu achana na stori za kiyosaki ma tycoon wenye Phd wapo huko duniani.
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana nimnunulie zawadi gani?

    Mpe pesa akanunue anachojua yeye.
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu mnapopita walishapita wengine na kibaya zaidi walipita miaka mingi iliyopita wenzako, hata huyu pep kocha wa Man city alilitwaa hili kombe akiwa na Barcelona miaka 8 iliyopita Mkuu Man U mnawashinda makombe ya UCL tu hili kombe wanalo tangu 2008 labda muongeze jingine. vita ya wana EPL...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Love you my wife, i really love you

  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona leo asernal kawauwa wengi sana.
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jana kuna majinga ya uturuki yalininyima laki 1 tena nayo yalikuwa nyumbani kabisa
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamaa zangu wana nafuu hawa Je wakinasisi arsenal
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

    sijui kwanini Nelson Mandela aliweza kuwasamehe makabulu lakini akashindwa kumsamehe mke wake.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

    Ukizungumzia maendeleo ya kanda ya Kaskazini usisahau kuna kanda ya ziwa pia. Siku zote ni huwa Mwanza vs Arusha na Moshi vs Kagera na si Chato vs Kaskazini. Lakini kwanini haya yote ni chato kama si ubinafsi wakati Kagera hawana hata stendi ya mabasi ya kueleweka.
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona Madrid rekodi inamkataa sana kwenye El clasico as matter of fact Hazard hatocheza halafu barcelona wana utatu wao labda suprise ipo aisee.
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania P Diddy celebrates 50th birthday with mega-rich friends including Kim Kardashian, Kanye West, Jay-Z and Beyonce

    Marwa_J_Merengo, R Kelly ana miaka 52......
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nawaona Dortmund,Man City,Atletico,chelsea na lyon wanavyojiona wasio na bahati kabisa ila Napoli akimkazia barcelona pale Nou camp basi anapita maana barcelona away huwa ni komedi sana
  14. L

    JamiiForums Tanzania I don't know if I can make it through this year

    Tough times never last but tough people do............
  15. L

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Very touching story.
Back
Top Bottom