Recent content by lucymtoi

  1. L

    No comment - Kingunge

    Wembe huohuo baba, tupo nyuma yako
  2. L

    (TCAA) usalama wa anga kunani?

    Habari ndiyo hiyo mwana jf
  3. L

    (TCAA) usalama wa anga kunani?

    Waliokimbia kwa mwaka huu tu ni hawa,wengine kwa jina mojamoja 1. MROWASA ( accounts ) 2. Tende accounts 3. Magaluda accounts 4. Mziray accounts 5. victoria accounts 6 Makwinya records 7. Ruth Simba HRM 9. Matotai HRO 10. Bulhan Electric technician 11.Kunaga Senior supplies officer 12. Mbaraka...
  4. L

    (TCAA) usalama wa anga kunani?

    kuna msululu wa wa wafanyakazi ambao wameacha kazi katika idara hiyo nyeti nchini, wafanyakazi hao ni kutoka katika kada mbalimbali, wengi wameshaondoka na wengine wengi wanahangaika kutafuta kazi sehemu zingine kwa speed ili waondoke. kama mnakumbuka tcaa ilikuwa inakimbiliwa na watu wengi...
  5. L

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    waislam na mahakama ya kadhi hii ni chokocho ambayo nature hata iweje they never change, kwani wanavyodai je ya wakristo iko wapi wa Othodox ikowapi, hapa hata muanzishe mahakama ya mwanzo hadi ya rufaa baada ya hapo watakuja na kingine, wekezeni kwenye elimu acheni ujinga, wakati wengine...
  6. L

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    mkuu taarabu imekushinda kutafsiri, joka la mdimu ni mh. Membe na alisema litajitokeza, na kweli limeshajitokeza lenyewe
  7. L

    Dr. Shein kuelekea 2015...

    Ni kweli mzee huyu wa utepe yupo cool sana sifa anazo, lakini kiti hicho cha magogoni tokea 2005 kimekuwa kikipatikana kwa mbinu na umafia wa hali ya juu, swali je atahimili, kwa mtamo wangu Dr Salim si mchafu kiasi alichochafuliwa 2005
  8. L

    TCAA yageuka kituo unyanyasaji wa kijinsia

    Rafiki zangu waliniomba niwasaidie kufikisha habari hii kwenu ili muichambue. Kumezuka tabia ya viongozi kulazimisha mapenzi kutoka kwa wafanyakazi wa kike, wakubwa hao wanaofahamika kwa majina ya Patrick Vyamana na Ruhongole, wamegeuka mafataki kwa kulazimisha mapenzi kwa kila msichana anaye...
  9. L

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    maaskofu kazi mnayofanya ni nzuri sana, kanyageni twende
  10. L

    Sababu 5 Zinazoweza Kumfanya Mke Wako Atembee Nje ya Ndoa

    uongo ni tabia ya mtu hata kama utampa nini atatoka tu
Back
Top Bottom