1. Ni kweli, Rais au kiongozi wa juu kama Baba kwenye familia anahitaji ka udictator fulani. Ni ngumu pia kumpata mtu mwenye sifa zote
2. Uzuri au tumaini langu kwa Shein ni uwezekano wa kutengeneza timu nzuri. Pamoja na madhaifu, udhaufu mkubwa aliona na ambao unaigarimu nchi ni TEAM CREATION. Na hili ni tatizo kubwa sana kwa nchi za Africa. wakati wenzetu anapopata madaraka anatengeza timu ya kumyanyua.
Hivyo, bado naona anafaa kuliko ambao wanapewa nafasi.
Correction Please:
1. Ni kweli, Rais au kiongozi wa juu kama Baba kwenye familia anahitaji ka udictator fulani. Ni ngumu pia kumpata mtu mwenye sifa zote
2. Uzuri au tumaini langu kwa Shein ni uwezekano wa kutengeneza timu nzuri. Pamoja na madhaifu mengine, udhaufu mkubwa aliona Kikwete na ambao unaigarimu nchi ni TEAM CREATION. Na hili ni tatizo kubwa sana kwa nchi za Africa. wakati wenzetu anapopata madaraka anatengeza timu ya kumyanyua.
Hivyo, bado naona anafaa kuliko ambao wanapewa nafasi.[/QUOTE]