Recent content by lucas mkata

  1. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Elimu ya foundation ya chuo kikuu huria inatosheleza kumpeleka mtu chuo kikuu?

    Nimependa ufafanuzi wako..nimekuelewa vizuri sana.
  2. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Wataalam msaada jamani

    Apo mbaka huiflash...au huingize unlock codes ambazo zinapatikana baada ya kutuma imei namba za simu yako kwa wataalamu wa hayo mambo.
  3. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  4. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kweli kabisa
  5. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

    Jamaa anaropoka sana ngoja apate adamu sijui hicho ndo wananchi wake walichomtuma chama anakiweka mbele kuliko wananchi wake.
  6. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Naweza kujiunga na vyuo vya ufundi kama vile d.i.t au mist n.k nikitokea veta??

    Asante sana kwa kunijuza mkuu,Nashukuru sana [emoji120][emoji120]
  7. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Naweza kujiunga na vyuo vya ufundi kama vile d.i.t au mist n.k nikitokea veta??

    habari zenu ...nilikuwa naomba kueleweshwa kuhusiana na hili mwakani natarajia kujiunga na chuo cha ufundi iringa kinachoitwa donbosco fani ya electrical installation swali langu ni je kama nikifanikiwa kuhitimu level 3 naweza kujiendeleza ktk vyuo vikubwa vya maswala haya ya ufundi kama vile...
  8. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Tecno Tecno Tecno Ni janga la Taifa.

    Ukienda kununua si wanakupa warantee ya mwaka mzima je ulienda kuwaambia?
  9. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

    Aisee kweli noma
  10. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

    yani kusema hivyo kazingua kishenzi yani.
  11. lucas mkata

    JamiiForums Tanzania Nani aliwaambia "punyeto" ni janga la kitaifa kwa wanaume peke yao? Wanawake pia tupo..

    [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] IYO YA MEZA NOMA.
Back
Top Bottom