Naweza kujiunga na vyuo vya ufundi kama vile d.i.t au mist n.k nikitokea veta??


lucas mkata

lucas mkata

Member
Joined
Nov 28, 2016
Messages
12
Likes
4
Points
5
Age
24
lucas mkata

lucas mkata

Member
Joined Nov 28, 2016
12 4 5
habari zenu ...nilikuwa naomba kueleweshwa kuhusiana na hili mwakani natarajia kujiunga na chuo cha ufundi iringa kinachoitwa donbosco fani ya electrical installation swali langu ni je kama nikifanikiwa kuhitimu level 3 naweza kujiendeleza ktk vyuo vikubwa vya maswala haya ya ufundi kama vile mist,dit n.k kwa ngazi ya diploma???natanguliza shukrani.
 
M

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
264
Likes
110
Points
60
Age
30
M

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
264 110 60
Waje nami nami nipTe kujuzwa
 
Mashimba Son

Mashimba Son

Verified Member
Joined
Dec 22, 2014
Messages
828
Likes
753
Points
180
Mashimba Son

Mashimba Son

Verified Member
Joined Dec 22, 2014
828 753 180
Yaaa unaweza ingia kwenye website ya DiT utaona tena huwa wanataka Hata level 2
Nenda Hata veta kipawa wanatoa nawenyewe diploma...!!
 
lucas mkata

lucas mkata

Member
Joined
Nov 28, 2016
Messages
12
Likes
4
Points
5
Age
24
lucas mkata

lucas mkata

Member
Joined Nov 28, 2016
12 4 5
Yaaa unaweza ingia kwenye website ya DiT utaona tena huwa wanataka Hata level 2
Nenda Hata veta kipawa wanatoa nawenyewe diploma...!!
Asante sana kwa kunijuza mkuu,Nashukuru sana
 
Baraka sheni

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Messages
422
Likes
124
Points
60
Baraka sheni

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2015
422 124 60
Mkuu asante na mimi nimepata mwanga na mdogo wangu yy ananza mwakani tanga electrical instillation
 
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,153
Likes
2,186
Points
280
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,153 2,186 280
Ila kama itaendelea kuwepo lazima uwe na pass ya maths na physics o level ili uweze kudahiliwa dit
 
K

Kataa Rushwa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2015
Messages
646
Likes
533
Points
180
K

Kataa Rushwa

JF-Expert Member
Joined May 15, 2015
646 533 180
unaweza kujiunga kama una qualification zinazokubalika ikihusisha ufaulu wa kidato cha nne wa nmasomo matano yakiwemo ya science at least mawili.
 

Forum statistics

Threads 1,272,606
Members 490,036
Posts 30,455,044