Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,508
- 830,009
Ukifuata masharti ya matumizi haivimbiKwa upande wa simu brand ya Samsung salute kwao. Ikizingua sanaaaa labda battery utakuta umevimba tu
Ukifuata masharti ya matumizi haivimbiKwa upande wa simu brand ya Samsung salute kwao. Ikizingua sanaaaa labda battery utakuta umevimba tu
Mkuu naitaka sana phantom 6 naomba unijulishe kidogo kuhusu betri yake nimeambiwa kuwa ni ndogo but nataka kujua kwa matumizi moderate unaweza tumia masaa mangapi?? Z-min ninayo ni zaidi ya mwaka sasa.Nilianzana tecno A7 (Phantom Z mini) sasaivi nina Phantom6. bado sana hujaniambia niachane na tecno. Kwanza inakaa na charhe kwa muda sana hata kama umewasha data. kuchaji ni 30mnts full hata kama ilikuwa empty kabisa
Ulinunua dukani ikiwa unopened kwenye boksi lake au kwa mtu??Hahahaahha tecno nilikuwa nasikiliza music kutoka coco kwenda home nimefika ostabay ikazimika, haijawaka hadi leo nimewapelekea wameniambia niwape 80k Huo ndo ulikuwa mwisho wa kutumia tecno
Hahaha unanitamanisha mkuu mimi nina Phantom Z, naitamani Phantom 6+,jamaa wako vzur tatzo watu tumekalili na kuamini ukiwa na Samsung au iPhone wewe ndo mjanja wakati ni mateso tuu mda wote power bankNilianzana tecno A7 (Phantom Z mini) sasaivi nina Phantom6. bado sana hujaniambia niachane na tecno. Kwanza inakaa na charhe kwa muda sana hata kama umewasha data. kuchaji ni 30mnts full hata kama ilikuwa empty kabisa
bahati mbaya tu hiyo umenunua ya bei poa wewe. Hata watu wako wanaozaliwa na kasoro haimaanishi kuzaa basiimekufa system charger na network ndo kabisaaaa hata haifanyi kazi ,nimekaa hapa natazamana nayo.
Janga moja umegenetise kote. Tatizo kama hilo laweza tokea hata kwa iPhone. Mimi nina H6, second year sasa. Na inakaribia mwaka wa 3, sijawahi badilisha battery wala nini, na ipo rooted. Baba yangu anatumia j8 na c5, hajawahi bata tatizo, mwaka umefika.Sitaki kuelezea kwa undani zaidi maana ntajikuta namwaga machozi yangu bureeeee!!!
Ila Tecno kwa kheri, niliwapenda ila mmejiharibia wenyewe.
"zamani niliwatetea ila mlichonifanyia sitakaa nisahau"
Masharti Kama yapi mkuuUkifuata masharti ya matumizi haivimbi
C8Pole mkuu,najua umeteketeza akiba yako ya mchagoni.
Ni tecno gani hiyo iliyokuzingua?
muongo tecno hiii miaka 3.sio mtunzaji sim....tecno mdogo angu anayo j7 huu mwaka wa3 na haijawah msumbua kwa lolot