Recent content by lucas classic

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuwa Mpagani?

    Gwajima aliwahi kusema hawezi kuchanganya siasa na dini,Sasa hivi ni mbunge,viongoz wa kidini weng ni njaa tu,Bora uwe mpagani,unajiongoza wewe mwenyewe na hakuna sadaka
  2. L

    JamiiForums Tanzania FAHAMU KUHUSU KIDONO: Dawa ya kienyeji inayozuia risasi, panga, shoka, kisu na nondo; havipenyi mwilini kamwe

    Hawa waganga wangevumbua dawa ya corona ningeielewa hii story
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ni kina nani?

    Halafu wote wana sura ngumu balaaa
  4. L

    JamiiForums Tanzania What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

    Dodo atakuwa punga huyo,siyo kwa style hiyo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Video Queen wa Diamond “ JEJE” ni balaa..

    Sijui nipoje,kila nikiangalia JEJE,nikiona Yale mauno 2 nipo choon napiga NY**to Mbingun siend
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tanki la pikipiki kuvuja Nini chanzo?

    Achana na tank la dukan,halitadumu muda mrefu kwa sababu limeundwa material mepesi sana,unaweza ukanunua hata mwaka lisimalize,nenda kwa mafund wakutafutie tank lililokuja na pikipki utakaa nalo muda mrefu kuliko LA dukan FUND.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Rim ya pikipiki TVS 150 inauzwa bei gani?

    unataka rim ya nyuma au ya mbele?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine kukwaruza kwenye Boxer BM 150 namba B

    Ngoja niwape elimu kidogo Kwenye pikipki kuna kitu kinaitwa CLUTCH HOUSING ambayo inabeba clutch plate,sasa hiyo clutch housing ikiwa inacheza Mara nying ndo inaleta huo mlio unaohusikia,na Mara nying ukiweka gia ukitaka kuondoka hiyo kelele inajitokeza,nenda kwa fund mwambie akubadilishie...
  9. L

    JamiiForums Tanzania NIDA Tafadhari.

    NIDA n janga la kitaifa,yaan mtu unenda kujaza fomu halafu wanakwambia njoo kesho,kesho ukienda wakwambia fomu hazipo,ctak hata kuwasikia
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha mabaharia

    2020 mabaharia wote mwendo n kula mzigo na kuacha,haya maswala mengine tuwaachie wenye hela jaman
  11. L

    JamiiForums Tanzania Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

    11)wapangaji roho mbaya,wez,wazee wa kukomoa Hawa wenyewe ukiacha kitu unakuta hakipo au wameharibu kabisaaa,ukiuliza n kosa,utakutana na majibu ya hovyo mpaka basi.......
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watu wanaojifanya wanadini wanakuwa na roho mbaya sana

    Ni bora uwe mpagani tu,mi mwenyewe siwapendi kwa sababu ya roho yao
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mjibuni Roma Mkatoliki hili swali

    Shida sio kuwa wanafiki,shida n watu wasiojulikana hata roma mwenyewe anaelewa
  14. L

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Bro, hiyo hela unaweza kupata pikpk ya kichina mpya nzuri,imara na yenye kuhimili barabara zetu na spea n nying
  15. L

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Bro,bora pkpk za china kwa sababu zina spea nying,lakin boxer ina nying fek na sio imara kama ile iliyokuja nayo na kingine n kwamba, boxer inataka upate fundi mzuri wa ingine hasa ikiua rings piston,huwa inasumbua sana na inataka vitu original,uchukua fek,itakusumbua,ni hayo tu....
Back
Top Bottom