Mjibuni Roma Mkatoliki hili swali

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,692
Mwanzoni mwa wimbo wake msanii Roma Mkatoliki ameanza kwa kuwauliza:

"MBONA HAMKUMSAPOTI MANGE? NA NINYI MTAKUWA WANAFIKI!!"

Nilitegemea jamaa zangu mumjibu kaka yenu, mmeuchuna tu.

Au amesema ukweli nyie ni wanafiki??

Maana nawaona kila kitu mnapinga anachofanya Rais Magufuli. Mara ndege sio shida yenu (lakini mnapanda), Mara demokrasia inaminywa, Mara mpo tayari kuingia mitaani kuandamana.

ROMA KAWAULIZENI MBONA HAMKUMSAPOTI MANGE KIMAMBI??

AU NYIE NI WANAFIKI KWELI???

FB_IMG_1574349288432.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Only women and gays would lender support to one shameless, attention-seeking, obnoxious, vulgar, narcissistic, diabolic, deluded cunt that this woman is. Plus she has zero leadership qualities.
 
Mwanzoni mwa wimbo wake msanii Roma Mkatoliki ameanza kwa kuwauliza:

"MBONA HAMKUMSAPOTI MANGE? NA NINYI MTAKUWA WANAFIKI!!"

Nilitegemea jamaa zangu mumjibu kaka yenu, mmeuchuna tu.

Au amesema ukweli nyie ni wanafiki??

Maana nawaona kila kitu mnapinga anachofanya Rais Magufuli. Mara ndege sio shida yenu (lakini mnapanda), Mara demokrasia inaminywa, Mara mpo tayari kuingia mitaani kuandamana.

ROMA KAWAULIZENI MBONA HAMKUMSAPOTI MANGE KIMAMBI??

AU NYIE NI WANAFIKI KWELI???

View attachment 1268394
Kwani nyinyi tayari mmeshamjibu Roma ile mistari inayowahusu au hamjasikiliza wimbo wote?
 
Wewe ndokilaza kweli.kwani akifanyia ughaibuni hausikii au akiwa bongo ndo utamwelewa ,dunia imeshakua kijiji ,wakiwambia nenden fb hamtaki
Wengi wanafiki nyuma ya keyboard akiwepo na Mange mwenyewe ,Mange kama angekua mkweli harakati angekuja kuzifanyia hapa hapa bongo
 
Hivi kuna wanafki zaidi ya hawa wanaopiga makofi na kumsujudia magu? Ukitaka kujua unafki wao Tunza hii coment utanikumbusha siku akitoka madarakani kama hujasikia wakisema amenunua ndege bila mpangilio ndo maana shirika limekufa
 
wanafki kuliko wote ni hawa wanaoisifia hii nyimbo ya roma kana kwamba kaongea kitu kipya ambacho mlikua hamkifahamu... Wapuuzi nyie
 
Only women and gays would lender support to one shameless, attention-seeking, obnoxious, vulgar, narcissistic, diabolic, deluded cunt that this woman is. Plus she has zero leadership qualities.

Itatuonesha tuna wajinga na wapumbavu wengi sana TZ.

Kwahiyo Magu, Serikali, inabidi ijibishane na huyu Malaya, kahaba. Viwango, quality, heshima, maadili yetu yameeshuka sana.

Nyerere,Mandela, Samora Machel, Kenyatta walipokuwa wanapigania uhuru they did stand on stronger foundation this.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom