mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 3,769
- 4,260
Habarin za usiku huu ndug zangu,.sitaki kuwashosha ngoja nienda moja kwa moja kweny mada.
Nna pikipiki yangu aina ya fekon ,nliinunua mwaka 2015..na haikunletea shida Hadi hivi majuzi ndo imeanza kunizingua katika upande wa Tanki la kuwekea mafuta..nikajaribu kuziba kwa kutumia dawa haradaiti..mambo yakawa sawa..
Cha kushangaza baada ya siku nne kupita Leo naona Tena upande mwingine wa kushoto unavuja tena,.na kilichonishtua Ni harufu ya mafuta..naomba mnijuze ndg zangu hii kuvuja kwa Tanki husababishwa na kitu gani?..na je spare zake huwa imara au ndo siku mbili zinaanza Tena kuvuja..???
Mwisho Kama Kuna anaejua mahali naweza pata spea ya hili Tanki langu kwa Bei nafuuu..anijulishe..
Sent using Jamii Forums mobile app