Recent content by lubasazi

  1. L

    JamiiForums Tanzania KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB) kimemshitaki Rais Jakaya Kikwete The HAGUE

    hivi ukimwambia mwanao mtu'akikupiga nawe mpige ni uchochezi!!!?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nini kipimo cha elimu ya mtu?

    mwenye elimu ni yule mwenye kufanya jambo mahali pake na kwa wakati wake.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini katika majarida ya zamani kabla ya magazeti ya udaku

    namkumbuka sana marehemu john kaduma r.i.p,pamoja na mtunzi maarufu kabisa ndg amri bawji na hadith zake katika jarida la sani,na ambha.kama vile damu nzito kuliko maji,kubali tuyamalize na kubwa lao kabisa ni a love story tanganyika na unguja,pia usisahau enzi za 'kisiwa cha kitintale' ili kuwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ombea juba na brazavilke popote ulipo;mapigano makali yanaendelea

    baba wa yesu!!!???i hiii...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    toa offer yako kwa hivyo uvitakavyo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mengi: Prof. Muhongo ni muongo

    me.ngi pia amehodhi freequncy nyingi sana za radio na tv ambazo hazitumii
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    kwangu mimi kufa kwa ajiri ya kutafuta ni heshima zaidi,yaani kama vile dereva unaanga kwako unaenda kazini halafu lolote njiani linaweza kukupata la kukupata , inabaki history,haya ni masuala ambayo hayahitaji jazba au mawenge,kama mm nna shughuri zangu,wala haya mambo hayanishughurishi kiasi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    bora uamini kuliko kutoamini kabisa !!!ila tutarudi punde kutoa ushuhuda ila hamkawii kusema oooh flani katoa kafara ,au freemason au muuza unga kama wachangiaji wengine wanavyosema,penye nia pana njia hizi ni mali zetu lazima tuzifukue,ila si kazi rahisi hata kidogo.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    hili ni jukwaa huru unahaki ya kusema hivyo na zaidi ya hivyo,ila kiukweli huna ujualo juu ya masuala haya.shaka hamna hawa jamaa wamekuta mali nyingi sana kwetu na kwa roho zao mbaya wameona wivu kuziacha kwenye mazingira rahisi kama wao walivyozikuta!!! Hizi ni mali zetu watanzania inatupasa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    anasema usisahau manati yake aliokuagizia...teh teh
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    kuna kazi namalizia kiwangwa baada ya week narudi kuleta ushuhuda ila ngumu sana.nilipanga niende j'pili ila kuna kazi nyingine nafanya,kama ungekuwa au upo hapa dar ningekuambia tufuatane ukajifunze kwa vitendo.ila safari ipo sooon
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    mkuu hizi habari kweli ila wale jamaa wameroga sana,unaweza ukafuatilia ukikaribia kufanikiwa unaghairi kumaliizia kazi au mkagombana wenyewe kwa wenyewe ,wamepumbaza sana ila amin tu wazungu wachawi sana.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    no jokes,wewe tu ni pm au njoo kwa hewa if u real man....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    mali zipo ,uwongo pia upo.kama'kweli yupo mtu ambaye anasema ameona sehemu kuna ,mali za mjerumani iwe sanduku ma kingine chochote lakini hakuingiliki ama kuna simba,fimbo,joka au mauza uza yoyote;sisi tupo tunatoa kiulainiiil,ila wengi waongo .kama mtu ana uhakika call 0717 292726,tukapige...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya yatakusaidia katika maisha yako..

    kuna sababu za kumfanya mtu akasirike,naweza kusema huwa inatokea ghafla agharabu kusema hapa nakasirika au pale sikasiriki,huenda ukasema hivyo lakini ikitokea hali halisi huenda ukakasirika,kwa mfano,imetokea tu umegundua mke wako anabwana pembeni,hapa pia utasemaje,kwa asili haiji hasira...
Back
Top Bottom