Ombea juba na brazavilke popote ulipo;mapigano makali yanaendelea

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,493
2,000
Wapendwa katika bwana
mkiwa kama watumishi wa mungu tuko duniani kwa ajili ya kuombeana na si kusaidiana tu
chukua ombi langu kaa dk 5 kuombea juba na brazaville
mapigano makali yanaendelea tunavyoongelea tuko na marafiki ndugu na jamaa wamejifungia
ndani toka asbh wengine wana matunda tu ndani akuna kutoka

na mbaya zaidi mapigano haya yanaelekea sehemu za aeroport'e so wakati wa kumwomba mungu ashushe rehema zake amani itawale

amina
ubarikiwe kwa maombi yako kwa wale wazito kuomba

sema bwana yesu naomba uwarehemu watu wa juba na brazaville uwasamehe dhambio zao zote
uwape amani ya milele ..mapigano yasiwepo tena milele
tunaomba nakushukuru
amen
 
Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
692
0
Polen sana ndugu!!Mungu mkuu akayamalize machafuko hayo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
kulikuwa na majaribio ya kupindua serikali. ila yamekwama lakin hali ya hatari imetangazwa Juba hakuna kutoka nje
 
Nali

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
1,157
2,000
Wapendwa katika bwana
mkiwa kama watumishi wa mungu tuko duniani kwa ajili ya kuombeana na si kusaidiana tu
chukua ombi langu kaa dk 5 kuombea juba na brazaville
mapigano makali yanaendelea tunavyoongelea tuko na marafiki ndugu na jamaa wamejifungia
ndani toka asbh wengine wana matunda tu ndani akuna kutoka

na mbaya zaidi mapigano haya yanaelekea sehemu za aeroport'e so wakati wa kumwomba mungu ashushe rehema zake amani itawale

amina
ubarikiwe kwa maombi yako kwa wale wazito kuomba

sema bwana yesu naomba uwarehemu watu wa juba na brazaville uwasamehe dhambio zao zote
uwape amani ya milele ..mapigano yasiwepo tena milele
tunaomba nakushukuru
amen

Mungu wa rehema, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Mungu Mkuu, Mungu wa Majeshi ulietukuka na ushie pahala palipo inuka sana, tunajinyenyekeza mbele ya uso wako ulojaa, neema na hekima zote! Tunajitakasa mbele zako maana ww ni mkuu sana, tunatubu dhambi zetu maana sisi tu dhaifu sana na wakosaji kila mara, eeh Yesu mwana wa Mungu uturehemu na utusamehe! Na sasa tunakuja mbele zako kuiombea Amani itawale Brazaville na Juba! We deeply humble seeking for your intervention ooh LORD!!

Your awesome and almighty God and we highly glorify your holy name!

In faith, I can see your mercy hands and interventions in Juba and Brazaville in Jesus Name!! Thank you Jesus. Amen!
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,493
2,000
Rais wa juba ametangaza hali ya hatari na kusema amefanikiwa kusimamisha mapinduzi yaliyotka kumpindua na kulaani wale wanajeshi waliokuwa wakimtii makamu wa rais
 
Mushobozi

JF-Expert Member
Aug 20, 2007
543
225
Hivi utatu wa kenya uganda na rwanda haukufanya coalition of the willing ya kusaidiana wakati wa shida? Laiti rafiki yako angekuwa tz ungesaidiwa kama alivyofanya kwa shellshell, comoro , drc na hata Ug. Pole sana.
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,017
2,000
Vita ni mbaya sana...ila waafrika tunatatizo lisilojulikana,ni rahisi sana kudanganywa na kuchapana... Mungu tuhurumie
 
Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
398
0
Father in the name of Jesus christ,I pray for juba and brazavile as well as africa entirely,it has been with great misery and distress for we africans as if we're cursed,our continent has never ever taken a break from every sort of anguish,ooh my Lord,when shall this anguish end? I beseech you to have mercy on us,even as we are the sinners,bless us Lord,shun us from all troubles that we're through,thank you Lord for you have heard of my prayers,you're a merciful God that hears everyone's plight,in the name of Jesus I cast away evil powers within us,Amen!
 
ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,368
1,250
Wapendwa katika bwana
mkiwa kama watumishi wa mungu tuko duniani kwa ajili ya kuombeana na si kusaidiana tu
chukua ombi langu kaa dk 5 kuombea juba na brazaville
mapigano makali yanaendelea tunavyoongelea tuko na marafiki ndugu na jamaa wamejifungia
ndani toka asbh wengine wana matunda tu ndani akuna kutoka

na mbaya zaidi mapigano haya yanaelekea sehemu za aeroport'e so wakati wa kumwomba mungu ashushe rehema zake amani itawale

amina
ubarikiwe kwa maombi yako kwa wale wazito kuomba

sema bwana yesu naomba uwarehemu watu wa juba na brazaville uwasamehe dhambio zao zote
uwape amani ya milele ..mapigano yasiwepo tena milele
tunaomba nakushukuru
amen
Hapo kwenye red,amani ya milele,pumziko la milele etc maana yake wa RIP
 
Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,399
2,000
Amin amin nawaambieni,kama mwaweza tabiri mvua itanyesha ama haitanyesha kwa kuangalia juu,enyi wanafiki kwa nini msiweze soma majira ya kuja kwa mwana wa adamu kama ilivyoandikwa katika maandiko mathayo 24,itajakuwa siku za mwisho mtasikia vita na tetesi za vita wala msiogope kwa kuwa ule mwisho bado,kwa maana taifa litainuka kupigana na taifa,ufalme kwa ufalme,,,
katika kitabu cha ufunuo wa yohana kinasema muonapo mambo haya yakitukia basi semeni *come Lord Jesus*
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom