Recent content by Loy MX

  1. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

    nimepita jioni kwa shida sana, nilitumia masaa manne toka bwawani mpaka mikese. na hakuna ajali ila nasikia ni manbo ya mwenge
  2. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Madini mengine ya Tanzania si yetu Kisheria

    Acha ngada.. Mbona Lissu kaelezea vizuri tu au umesoma kichwa cha habari tu?
  3. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Smartphone 5.5' display Network 4G Dual SIM RAM 2GB Memory 16GB or above Brand yoyote Budget 200K .... Nichek inbox .. Napatikana Dar es salaam
  4. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

    Umenikumbusha mbali sana.. Safari ya PTA mpaka Durban kwa Intercape
  5. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

    Punguza kutumia maji ya chumvi unaposafisha sehemu hizo....
  6. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Kuna watu machizi kweli! Kwa akili hizi tutapona kweli?

    Duuuh kwa hiyo real niggaz wana spid ya NZI... Sekunde kadhaa washamaliza??
  7. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Lectures wa mwalimu nyerere Memorial University

    Umesikia kwa nani?
  8. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    Usisahau wale wanaovaa ma wigi miez mitatu...
  9. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

    Usishangae kusikia yuko mtaani baada ya siku kadhaa tu
  10. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Pombe ni hatari kwa uchumi

    Usifananishe pombe na mambo ya kijinga aisee
  11. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Tatizo la uume kulegea wakati wa kufanya mapenzi

    Au ukute jamaa anagegeda sana sabuni kila muda wa kuoga ?
  12. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Hii shoo kasimamia Young D ama?

    ulisikia kwa nani??
  13. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Makontena yaliyopotea Bandarini: Polisi ilihusika?

    hivi meli moja ina uwezo wa kubeba makontena mangapi??
  14. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    +27 73 857 5925 Mshana hebu niunge huko
  15. Loy MX

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Rais wangu ni Lowasa .... hata amseme vip...
Back
Top Bottom