Kuna watu machizi kweli! Kwa akili hizi tutapona kweli?

mgesa

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
997
941
1475220283727.jpg

Mdada hapo kaandika:
Kondomu ni ya wanaume dhaifu, wanaume halisi wanagegeda fasta na kuchomoa/kutoa kabla hata UKIMWI haujagundua. [HASHTAG]#ukweli[/HASHTAG]

Duuuh!
 
Kavu tamu lakini Ukimwi ndo Mbaya yani hapo by the way Condom wengine zinawa affect wanapata allergy ya kuwashwa Penis zao
 
Duuuh kwa hiyo real niggaz wana spid ya NZI... Sekunde kadhaa washamaliza??
 
Back
Top Bottom