Pombe ni hatari kwa uchumi

Mimi nisipokunywa ndio huwa narudi nyuma kiuchumi,maana hata dili zenyewe sizipati wala sizitafuti,lakini nikijiona nitakosa hela ya kunywa wewe,nitalazimisha hata nyekundu ionekane ya njano ili nipate pesa.
 
Pombe sio mbaya ila watumiaji wake ndo wenye matatizo.Na ndio maana pombe ilikuwepo tangu enzi za nuhu.Pombe haikuletwa watu walewe bali ilikuwa ni mvinyo wenye ladha tofauti na kuwa fanya watu wa injoi na kusahau shida zao kwa muda.Na ndio maana ata Yesu aliwahi kuwaamini wapeni masikini pombe wazisahau shida zao
 
Pombe inahusika sana. mimi nikinywa pombe ramani nyingi sana za nyumba za kisasa zinaniijia katika fikra zangu, tena ma idea za miradi mingi tu tena ya thamani
 
Dah...Wewe unasema leo wakati bajeti yetu inakaribia utekelezaji?? Ningewashauri waache wakati wa kupanga bajeti ijayo. Kuacha waache baada ya utekelezaji wa bajeti 2016/17 maana pesa zao zimeingizwa tayari kwenye bajeti
CCM CCM CCM CCM CCM
 
Mkuu Chakaza kuna baadhi ya majina hayafai kabisa kuwapa watoto. Kama sikosei humu kuna uzi kuhusu baadhi ya majina. Pombe Chakaza ni noma akishaichakaza pombe atakuwa hasikii la jini wala la malaika.

Ha ha ha, mkuu unaniambia mawazo niliyokuwa nayo ya kumpa mwanangu jina la BAK POMBE Chakaza niache? Ninachoichukia POMBE ni kuwa inapenda sana sifa. Mnywa POMBE hata akikosea hataki kukosolewa yeye ni sifa tuu.
 
Back
Top Bottom