Mkuu wiki ya pili au ya tatu inafaa kutia mbolea lakini pia inategemeana na mtiririko wa mvua,kwa mpangilio wa dawa pia utaangalia kama kuna mashambuliza ya wadudu ambao mara nyingi husababishwa na uotaji wa majan shambani so ili kuAvoid inabid shamba liwe safi mda wote
Hawa majamaa hawafai kabisa asee,saivi wameamua kuanzisha katuni kabsa za ushoga kupitia Channel yao ya Disney hii wanataget watoto wadogo ili wakikua waone haya mambo ni ya kawaida kumbe laana tupu kwa Mungu
Habari yako!
Mim macho yangu yana matatzo,sioni mbali! Na usku sioni vizuri! Sijawahi kuvaa miwan na wala sina mpango wa kuivaa,Dawa gan nitumie! Kumbuka sijawahi kwenda hosptal kwa hili tatzo! Ni hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.